Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #21
Afadhali Mimi . Wewe unayewaza kuichoma moto nchi ndo tahira kabisaAkil yako imejaa mav matupu
Afadhali Mimi . Wewe unayewaza kuichoma moto nchi ndo tahira kabisaAkil yako imejaa mav matupu
Kwa hiyo unasema kama Polisi hawajaua jana, basi ni lazima hawajaua November 29 na siku zilizofuatia?Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Acheni kukumbusha maumivu kwa waathirika., hizi mada ni kama kejeli kwa waathirika🚮🚮Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Nyumbu zikawa zinadanganywa ooh ukiandamama ndo salama kuliko kukaa ndani, japokua nyumbu hazina akili hata moja ila jana zimeshtuka zikajichimbia uvunguni, maana ile dozi waliyokutana nayo wakiwa wanafanya unyumbu wao wa wizi na uharibifu wa mali ni kubwa kuliko ugonjwa wao hadi wamepona
Hao ni katika watu ambao walipata madhara kutokana na vurugu mlizoanzisha nyie nyumbu wezi na waharibifu wa mali, hizo zilikua ni sehemu ya gharama ya ujinga mlioufanya ndo maana safari hii hatakufa tena mtu asie na hatia ila kila nyumbu atakaeiba au kuharibu mali ya mtu atafia hapohapo mbele ya mali aliyoiba au kuharibu hakuna kupewa second chance.Wewe una laana ya kujifanya mlemavu ulipwe na KAKOBE.
Sheikh Sharifu Majini,master tindwa ,dereva wa malori tiktok walienda kuvunja maduka ya nani?
Mbona haueleweki? Wewe si umesema waliovunja maduka wamekula vyuma? Haulewi kwamba kwenye vurugu inawaathiri wote wote ,aliyehusika na asiyehusika?Hao ni katika watu ambao walipata madhara kutokana na vurugu mlizoanzisha nyie nyumbu wezi na waharibifu wa mali, hizo zilikua ni sehemu ya gharama ya ujinga mlioufanya ndo maana safari hii hatakufa tena mtu asie na hatia ila kila nyumbu atakaeiba au kuharibu mali ya mtu atafia hapohapo mbele ya mali aliyoiba au kuharibu hakuna kupewa second chance.
Tuliwaambia tuweke mambo kando tujenge nchi mkakataa na kusema D9 mtakiwasha .Acheni kukumbusha maumivu kwa waathirika., hizi mada ni kama kejeli kwa waathirika🚮🚮
Ndiyo nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu binafsi na za Umma wameuwawa na wamestahili kuuwawa , lakini wapo pia waliokufa kwa kupigwa risasi bahati mbaya kutokana na uhalifu wenu nyumbu mlioufanya, ikiwepo wale waliokutana na risasi zilizopita dirishani na kuleta madhara kwa watu waliondani.Mbona haueleweki? Wewe si umesema waliovunja maduka wamekula vyuma? Haulewi kwamba kwenye vurugu inawaathiri wote wote ,aliyehusika na asiyehusika?
Guys usilete utani watu wamepoteza maisha ambao walikuwa hawana hatia.
Sasa hiyo Oct 29 hadi Nov 3 kwanini msiwachukulie hatua hao wezi ,kwanini mlikuwa mnapiga tu risasi hovyo hovyo mpaka zinaingia sebuleni zinaua watu wanaangalia TV? Why sasa ndiyo mnasema kwamba mnaua watu wakiwa na vizibiti walivyioba?Ndiyo nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu binafsi na za Umma wameuwawa na wamestahili kuuwawa , lakini wapo pia waliokufa kwa kupigwa risasi bahati mbaya kutokana na uhalifu wenu nyumbu mlioufanya, ikiwepo wale waliokutana na risasi zilizopita dirishani na kuleta madhara kwa watu waliondani.
Ndo maaana safari hii kila nyumbu atakaefanya vurugu atafia eneo la tukio au mbele ya kielelezo alichoiba au kuharibu ili madhara yasimpate mtu mwingine.
Katika hilo hamna huruma ukikimbilia ndani utafatwa hadi uvunguni.
Oct 29 na ushahidi upo, hatuzungumzii janaNitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
😅😅Huoni kuwa hii ni hoja ya kijinga, kimantiki inaitwa non sequitur logical fallacy
Mimi saivi Kuna nyuzii za watu sifunguii eg. Genta, pacome e.t.cBwana Sandali Ali inatosha...kafanye kazi Sasa 🤣...utasuta Hadi saa ngapi na pesa utatafuta saa ngapi...
Tuache stori nyingi muda hautoshi toka nje sahivi kaandamaneSasa hiyo Oct 29 hadi Nov 3 kwanini msiwachukulie hatua hao wezi ,kwanini mlikuwa mnapiga tu risasi hovyo hovyo mpaka zinaingia sebuleni zinaua watu wanaangalia TV? Why sasa ndiyo mnasema kwamba mnaua watu wakiwa na vizibiti walivyioba?
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Wamejifunza kwa namna ngumu na yenye kutisha, itakuwa vigumu kwao kucheza na moto.Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
.Mimi saivi Kuna nyuzii za watu sifunguii eg. Genta, pacome e.t.c
uwe unashirikisha akili unapota hoja badala ya kvma lako huyu mtoto alikuwa na tishio gani kwa polisi nguruwe weNitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.