BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Michawa imerudi na nguvu na kasi kubwaa
inajaza utumbo humu kwa buku 7 tu!
inajaza utumbo humu kwa buku 7 tu!
Walikuwa Majambazi, mahayawani, vibaka, washenzi, vichaaa bure, mbwa koko weusi, majangili , takataka , marehemu wa kujitakia mbwa kabisa wale , na waliobaki mahabusu wauwaawe nimeshaomba mara 1000 sijui kwa nini wanawachelewesha, na walioponea ila footage zikawapata watafutwe waondoke hapa duniani tusibakiwe na limbegu chafu kama yaleKwahiyo waliopigwa risasi kuanzia Oct 29 mpaka Nov 3 walikuwa majambazi/wezi?
Kama ukiwa na sifa ya kutekwa lazima utatekwa tu, hivyo ndivyo nchi zote duniani zinavyolindwa. hakuna nchi hata moja duniani ambayo haina watu wanastahili kutekwa au kuuliwa. Hata nchi za Magharibi watekaji na wauaji wapo. Kuna marais waliuliwa huko.Acheni kuteka na kuua watu 📌
Tendeni haki 📌
Wasikilizeni wananchi 📌
Punguzeni ufisadi 📌
Ruhusuni katiba mpya 📌
Inueni uchumi wa watu wenu 📌
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi 📌
Shughulikeni na ajira kwa vijana 📌
Punguzeni nepotism 📌
Acheni kunyanyasa wapinzani 📌
Kutoyazingatia haya machache kutazidi kuchochea moto mioyoni mwa watu. Na nchi haitakuwa salama. Kunaweza kuwa na utulivu lakini kusiwe na amani. Ni kama kuwa na bomu chini ya kitanda chako!
Kwa sasa mnaweza kufurahi na kupongezana kuwa mmefanikiwa kuzuia maandamano tena kwa gharama kubwa ya ku-mobilize jeshi utafikiri nchi imo vitani lakini wananchi mnaowaongoza wana hasira na visasi. Na huwezi kutawala watu ambao hawakukuchagua na hawakutaki. Wengi walishajaribu wakashindwa na hawakuwa na mwisho mwema.
Samia atajaribu kutawala kwa kutumia mitutu ya bunduki, kuteka na kuua watu lakini hataweza na, kama historia ni mwalimu sahihi, hatakuwa na mwisho mzuri. Na ataishia katika pipa la takataka la historia kama kiongozi katili, muuaji, fisadi na asiyejali.
Anajua hakuchaguliwa na wananchi. Anajua hakupata kura milioni 32. Anajua hakushinda kwa 98%. Anajua uchaguzi ulivurugika. Anajua alijiapisha kimagumashi. Anajua siyo rais halali. Anajua anaongoza serikali haramu. Basi angalau ajaribu kutenda haki ili ajikongoje na hii miaka mitano yake ambayo itakuwa mirefu na ya mateso sana kwake hasa akiendelea na huu udikteta wake.
Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri yenye kila kitu lakini inaharibiwa na wanasiasa wasio na maono, walafi, wauaji, mafisadi na wasiojali! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3513736
Acheni kuteka na kuua watu 📌Kama ukiwa na sifa ya kutekwa lazima utatekwa tu, hivyo ndivyo nchi zote duniani zinavyolindwa. hakuna nchi hata moja duniani ambayo haina watu wanastahili kutekwa au kuuliwa. Hata nchi za Magharibi watekaji na wauaji wapo. Kuna marais waliuliwa huko.
Unaposema wasikilizeni wananchi wananchi lazima uje na takwimu juu ya hao wanachi, ni akina nani, wako wapi, wako wangapi na wanataka nini.
Kuna wahuni walimkataa Samia hata kabla hajaapishwa, huo ni uhuni ambao haukubaliki.
Kisingizio ni katiba ambayo iliandikwa na Nyerere mwaka 1977 na kutumiwa na Nyerere mwenyewe, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli. Kwanini ni haramu Samia kuitumia pia. kwanini yeye ndiye lazima aibadilishe kwa nguvu? Kwani mchakato wa kubadilisha katiba ni wa chadema na CCM tu?
Kuharibu miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa lilikuwa kosa kubwa la chadema. \walipaswa kulaani kitendo kile. Kuna watanzania wa kawaida kabisa ambao sasa hivi hawana kazi baaada ya vurugu zile zilizoharibu ajira zao kwenye mabaa, maduka, sheli za mafuta, magari waliyokuwa wakiendesha, na maduka ya watu. Watanzania hawa wanamuona Lissu na chadema kama magaidi. Wapo waananchi wa kawaida kabisa ambao wamepoteza stahiki zao mbalimbali baada ya ofisi za mitaa na Kata kuchomwa moto, hawa nao wanaiona chadema kama chama cha kigaidi.Hizo chuma kila mtu anaweza kuwa nazo, wapumbavu mnaharibu nchi kwa ujinga tuu, hata mkoloni hakuwa wa hovyo kama hilo shetani lenu Samia, historia itamhukumu vibaya sana
Sisi wananchi tuliowengi bado tunamdai Samia atupe umeme na maji huku vitongojini, atupe walimu na wahudumu wa afya wengi, atupe barabara huku vijijini bado hakuna, atupe pembejeo za kilimo na ufugaji bado tunamdai. hatumdai katiba mpya hata kidogo mpaka sasa. Katiba itahitajika baada ya kila mtu kuwa na umeme, maji, chakula, matibabu na mahala pa kulala. Kosa moja la Nyerere ilikuwa kusambaza umeme, maji, shule na barabara upande mmoja tu wa nchi na kusahau pande nyingine za nchi. Hii inasababisha ule upande uliopendelewa wakati ule udai makubwa zaidi kule zile basic needs ambazo wengine bado hawajapata.Acheni kuteka na kuua watu 📌
Tendeni haki 📌
Wasikilizeni wananchi 📌
Punguzeni ufisadi 📌
Ruhusuni katiba mpya 📌
Inueni uchumi wa watu wenu 📌
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi 📌
Shughulikeni na ajira kwa vijana 📌
Punguzeni nepotism 📌
Acheni kuiba kura 📌
Acheni kunyanyasa wapinzani 📌
Ruhusuni watu waseme 📌
Kutoyazingatia haya machache kutazidi kuchochea moto mioyoni mwa watu. Na nchi haitakuwa salama. Kunaweza kuwa na utulivu lakini kusiwe na amani. Ni kama kuwa na bomu chini ya kitanda chako!
Kwa sasa mnaweza kufurahi na kupongezana kuwa mmefanikiwa kuzuia maandamano tena kwa gharama kubwa ya ku-mobilize jeshi utafikiri nchi imo vitani lakini wananchi mnaowaongoza wana hasira na visasi. Na huwezi kutawala watu ambao hawakukuchagua na hawakutaki. Wengi walishajaribu wakashindwa na hawakuwa na mwisho mwema.
Samia atajaribu kutawala kwa kutumia mitutu ya bunduki, kuteka na kuua watu lakini hataweza na, kama historia ni mwalimu sahihi, hatakuwa na mwisho mzuri. Na ataishia katika pipa la takataka la historia kama kiongozi katili, muuaji, fisadi na asiyejali.
Anajua hakuchaguliwa na wananchi. Anajua hakupata kura milioni 32. Anajua hakushinda kwa 98%. Anajua uchaguzi ulivurugika. Anajua alijiapisha kimagumashi. Anajua siyo rais halali. Anajua anaongoza serikali haramu. Basi angalau ajaribu kutenda haki ili ajikongoje na hii miaka mitano yake ambayo itakuwa mirefu na ya mateso sana kwake hasa akiendelea na huu udikteta wake.
Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri yenye kila kitu lakini inaharibiwa na wanasiasa wasio na maono, walafi, wauaji, mafisadi na wasiojali! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3513887
Chadema na lisu wanahusika vipi na maandamano yaliyotokea au mauaji yaliyofanywa na Samia na wahuni wenzake? kwa akili kama zako hakuna siku nchi itaendelea,na utekaji na uuaji utaendelea, wajinga mpo wengi sanaKuharibu miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa lilikuwa kosa kubwa la chadema. \walipaswa kulaani kitendo kile. Kuna watanzania wa kawaida kabisa ambao sasa hivi hawana kazi baaada ya vurugu zile zilizoharibu ajira zao kwenye mabaa, maduka, sheli za mafuta, magari waliyokuwa wakiendesha, na maduka ya watu. Watanzania hawa wanamuona Lissu na chadema kama magaidi. Wapo waananchi wa kawaida kabisa ambao wamepoteza stahiki zao mbalimbali baada ya ofisi za mitaa na Kata kuchomwa moto, hawa nao wanaiona chadema kama chama cha kigaidi.
Wewe ni ***** na mmoja wa wauaji, watu waliotoka mahabusu wale waliokamatwa 29th-Oct mbona waliosema wamekatiwa majumbani mwao polisi haikanushi. Watoto wa under ten years waliopigwa risasi walikuwa kwenye maandamano? Kuna watu tunawafahamu personally na si watu wa harakati risasi walipigiwa wapi? Chawa wa Samia shehe ubwabwa shehe Majini naye alikuwa kwenye maandamano?Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Watake radhi familia za walioawa bila hatia Sharifu Majini ,Master Tindwa ,Dereva wa malori Tiktok etcWalikuwa Majambazi, mahayawani, vibaka, washenzi, vichaaa bure, mbwa koko weusi, majangili , takataka , marehemu wa kujitakia mbwa kabisa wale , na waliobaki mahabusu wauwaawe nimeshaomba mara 1000 sijui kwa nini wanawachelewesha, na walioponea ila footage zikawapata watafutwe waondoke hapa duniani tusibakiwe na limbegu chafu kama yale
kuna watu wamepata madhara kwa sababu ya wale wahuni kuanzisha, ni kawaida kwenye vurugu hata wasiohusika kuguswa ndo kilichotokea kosa sio langu ndugu , kweli kabisa kuna wema wachache wameuwawa kimakosa ila hilo halikwepeki kukishanuka, NDO MAANA SISI TUSIO NA VYAMA HATUTAKI VURUGU YEYOTE KABISAAAWatake radhi familia za walioawa bila hatia Sharifu Majini ,Master Tindwa ,Dereva wa malori Tiktok etc
Ndugu mimi sijaharibiwa chochote lakini marafiki zangu wanne leo wameanza dawa za pressure wakati walikuwa vizuri tu wale mbwa walivyowafilisi ghafla, NARUDIA KWA SAUTI KUBWA WALE MBWA WASHENZI MAJAMBAZI, MAJANGILI MAJIZI waliobaki mahabusu wauwawe kabla ya Jan 1 st ili mioyo yetu ifurahi kidogo na tupone trauma ya wale mbwaWatake radhi familia za walioawa bila hatia Sharifu Majini ,Master Tindwa ,Dereva wa malori Tiktok etc
Una ushahidi wa hao waliouwawa wakifanya uharifu, au unakojoa maneno kama unapigwa mande?Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo na akili ya kutafakari kuliko kauli za uchochezi, kwa sababu bila mwongozo sahihi tunaweza kupotezwa na hasira za muda mfupi na kuharibu mustakabali wetu wenyewe. Nchi yetu inahitaji umoja kuliko mgawanyiko, kwa sababu tukigawanyika tunapoteza nguvu yetu kama taifa, lakini tukikaa pamoja tunakuwa na uwezo wa kushinda changamoto nyingi kuliko tunavyodhani. Hii ndiyo nguvu ya utashi wa kibinadamu, kuchagua kilicho bora, kutanguliza utu, na kulinda amani inayotuwezesha kuendelea kusonga mbele.Kwa hiyo unasema kama Polisi hawajaua jans, basi ni lazima hawajaua November 29 na siku zilizofuatia?
Huoni kuwa hii ni hoja ya kijinga, kimantiki inaitwa non sequitur logical fallacy?
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Eti "wanainchi tulio wengi tunamdai samia" wanainchi wapi hao? Zaidi ya nyie machawa wala makombo ya mafisadi kuna nani mwingine anayemtaka huyu muuaji ambaye ameigeuza nchi mali ya familia yake?Sisi wananchi tuliowengi bado tunamdai Samia atupe umeme na maji huku vitongojini, atupe walimu na wahudumu wa afya wengi, atupe barabara huku vijijini bado hakuna, atupe pembejeo za kilimo na ufugaji bado tunamdai. hatumdai katiba mpya hata kidogo mpaka sasa. Katiba itahitajika baada ya kila mtu kuwa na umeme, maji, chakula, matibabu na mahala pa kulala. Kosa moja la Nyerere ilikuwa kusambaza umeme, maji, shule na barabara upande mmoja tu wa nchi na kusahau pande nyingine za nchi. Hii inasababisha ule upande uliopendelewa wakati ule udai makubwa zaidi kule zile basic needs ambazo wengine bado hawajapata.
Tafuta nchi ya kukimbilia omba ukimbiziNitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Amani ni nini?Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo na akili ya kutafakari kuliko kauli za uchochezi, kwa sababu bila mwongozo sahihi tunaweza kupotezwa na hasira za muda mfupi na kuharibu mustakabali wetu wenyewe. Nchi yetu inahitaji umoja kuliko mgawanyiko, kwa sababu tukigawanyika tunapoteza nguvu yetu kama taifa, lakini tukikaa pamoja tunakuwa na uwezo wa kushinda changamoto nyingi kuliko tunavyodhani. Hii ndiyo nguvu ya utashi wa kibinadamu, kuchagua kilicho bora, kutanguliza utu, na kulinda amani inayotuwezesha kuendelea kusonga mbele.