PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe endelea na UTAPELI wako ,wewe ni mmoja wa wale wa ile pesa tuma kwa namba hii ,shukuru umepata ajira ya Abdul huku mitandaoni otherwise ungekuwa unatumika na Mwamposa kwenye maigizo ya Pstor kuna muujiza.

Tuliwambia kuwa tutakaemkamata analeta zengwe barabaran ni kuchezea tuh masaburi yake naona makamanda uchwara mmekula kona,uoga tuh...tokeni mje tumalize hizo clean sheet.
 
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Unapowatetea polisi zingatia haki

Unapowatetea polisi zingatia utendaji wao na ubabe wao tangu Magufuli. Kesi za kutunga/kusingizia.

Kuna ushahidi ambao hamuutaki utolewe, ulio wazi kuwauwa watu majumbani. Mko tayari kuukubali sasa ?

Mmesababisha Yatima, wajane, wagane, na wazee wasio na watoto kwa uroho tu wa madaraka ya muda hopa duniani.
 
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.

Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.

Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Hadi walipofunzwa na Ulimwengu.Siye wazaramo tunasema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
 
Tuliwambia kuwa tutakaemkamata analeta zengwe barabaran ni kuchezea tuh masaburi yake naona makamanda uchwara mmekula kona,uoga tuh...tokeni mje tumalize hizo clean sheet.
Wewe una hasira za kufeli kuzuia gesi isitoke mtwara ,naona wajeda walikua "NUKTA" kwahiyo unataka na wewe ulipize.
 
Nyumbu zikawa zinadanganywa ooh ukiandamama ndo salama kuliko kukaa ndani, japokua nyumbu hazina akili hata moja ila jana zimeshtuka zikajichimbia uvunguni, maana ile dozi waliyokutana nayo wakiwa wanafanya unyumbu wao wa wizi na uharibifu wa mali ni kubwa kuliko ugonjwa wao hadi wamepona
AHAAA Mwaipaya, Mange na Maria anawadanganya wenzao wao wamekaaa kwenye CM tu wanatweet , Ila Nyumbu wamejua umuhimu wa kujiongeza , na uzuri wa kutowadekeza , wote wanakumbuka risasi ya kichwa wanheshimu nchi ikiongea
 
Mbona haueleweki? Wewe si umesema waliovunja maduka wamekula vyuma? Haulewi kwamba kwenye vurugu inawaathiri wote wote ,aliyehusika na asiyehusika?

Guys usilete utani watu wamepoteza maisha ambao walikuwa hawana hatia.
wasio na hatia wawalalamikie walionzisha vurugu, vila vurugu nani angerusha risasi
 
kwa ujambazi ule ilitakiwa siku ya kwanza tu wangelambwa tatu tatu za kutosha , si unaona jana kila mtu ana akili timamu baada ya kukubuka October 29
Kwahiyo waliopigwa risasi kuanzia Oct 29 mpaka Nov 3 walikuwa majambazi/wezi?
 
Back
Top Bottom