Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kumbe hiyo I'd ni ya huyo pimbi Sandali Ali ila watu mna siri!!!Bwana Sandali Ali inatosha...kafanye kazi Sasa 🤣...utasuta Hadi saa ngapi na pesa utatafuta saa ngapi...
Sanda Ali yule jamaa aliyekuwa pimbi JfKumbe hiyo I'd ni ya huyo pimbi Sandali Ali ila watu mna siri!!!
😂😂😂
Wewe mwanamke , tunza kauli zako , nafikili unajua nilosha kwambia niniNitaendelea kuwaita wajinga na wapumbavu mpaka ujinga na upumbavu viwatoke kichwani mwenu.
Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga na upumbavu wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando.
Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka police wakutumie barua ya wito ?
Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka police wasije kukukamata ghetto?
Ahaaa ahaaa wao waliua polisi wakaharibu mali za raia wema kibao , waliposalimiwa kidogo tu wakapaza sauti mara wamempiga flani akiwa kibarazani, yote hiyo ilikuwa kuichafua Tanzania, Nimefurahi sana polisi walivyo wapusua vichwa siku zile wale wachache , wengi wamejifunza naona this time kila kichaa ana adabu hakuna tena kule kujimwambafai , ohhh tunaelekea mjini, ohhh bado kuchoma kwa flani , ohhh tunaenda kuchoma TCRA maamaaae , wamejua risasi inapenyaje mfupa unakuwa biscutiNitaendelea kuwaita wajinga na wapumbavu mpaka ujinga na upumbavu viwatoke kichwani mwenu.
Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga na upumbavu wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando.
Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka police wakutumie barua ya wito ?
Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka police wasije kukukamata ghetto?
Kumbe hiyo I'd ni ya huyo pimbi Sandali Ali ila watu mna siriBwana Sandali Ali inatosha...kafanye kazi Sasa 🤣...utasuta Hadi saa ngapi na pesa utatafuta saa ngapi...
Hahaah ndio kanishangaza kumbe saizi amekua aunt Niko pamoja na Samia haya ni maajabu!Sanda Ali yule jamaa aliyekuwa pimbi Jf
Ahaaa ahaaa wao waliua polisi wakaharibu mali za raia wema kibao , waliposalimiwa kidogo tu wakapaza sauti mara wamempiga flani akiwa kibarazani, yote hiyo ilikuwa kuichafua Tanzania, Nimefurahi sana polisi walivyo wapusua vichwa siku zile wale wachache , wengi wamejifunza naona this time kila kichaa ana adabu hakuna tena kule kujimwambafai , ohhh tunaelekea mjini, ohhh bado kuchoma kwa flani , ohhh tunaenda kuchoma TCRA maamaaae , wamejua risasi inapenyaje mfupa unakuwa biscuti
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Kwani Magaidi wa Abdul na Mesenaries kutoka Uganda walikuwepo mtaani? JWTZ si waliwepo wanalinda wanainchi wasiuawe au haujaona? Kwani uliwaona askari waliovaa kiraia na mitutu?Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
Hizo chuma kila mtu anaweza kuwa nazo, wapumbavu mnaharibu nchi kwa ujinga tuu, hata mkoloni hakuwa wa hovyo kama hilo shetani lenu Samia, historia itamhukumu vibaya sanachuma mpya za Kirusi zinapumua tu mikononi mwa vijana wenye ari mpya.
Wangeweka pua tu kwisha habari zao
wameanza kupata akili.Nyumbu zikawa zinadanganywa ooh ukiandamama ndo salama kuliko kukaa ndani, japokua nyumbu hazina akili hata moja ila jana zimeshtuka zikajichimbia uvunguni, maana ile dozi waliyokutana nayo wakiwa wanafanya unyumbu wao wa wizi na uharibifu wa mali ni kubwa kuliko ugonjwa wao hadi wamepona
Akil yako imejaa mav matupuNitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka Polisi wakutumie barua ya wito? Unachoma mali za umma moto unakimbilia ghetto unataka Polisi wasije kukukamata ghetto?
😂😂Et nyoo nyooKumbe hiyo I'd ni ya huyo pimbi Sandali Ali ila watu mna siri
Hahaah ndio kanishangaza kumbe saizi amekua aunt Niko pamoja na Samia haya ni maajabu!
mama ako alitukosea sana sisi walimwengu kwa kuleta pimbi kama wewe hapa duniani!Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.