PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hiyo unasema kama Polisi hawajaua jana, basi ni lazima hawajaua November 29 na siku zilizofuatia?

Huoni kuwa hii ni hoja ya kijinga, kimantiki inaitwa non sequitur logical fallacy?
 
Acheni kukumbusha maumivu kwa waathirika., hizi mada ni kama kejeli kwa waathirika🚮🚮
 

Wewe una laana ya kujifanya mlemavu ulipwe na KAKOBE.

Sheikh Sharifu Majini,master tindwa ,dereva wa malori tiktok walienda kuvunja maduka ya nani?
 
Wewe una laana ya kujifanya mlemavu ulipwe na KAKOBE.

Sheikh Sharifu Majini,master tindwa ,dereva wa malori tiktok walienda kuvunja maduka ya nani?
Hao ni katika watu ambao walipata madhara kutokana na vurugu mlizoanzisha nyie nyumbu wezi na waharibifu wa mali, hizo zilikua ni sehemu ya gharama ya ujinga mlioufanya ndo maana safari hii hatakufa tena mtu asie na hatia ila kila nyumbu atakaeiba au kuharibu mali ya mtu atafia hapohapo mbele ya mali aliyoiba au kuharibu hakuna kupewa second chance.
 
Kwahio sababu hakuna vita vya tatu vya dunia, kwahio vya pili havijatokea ?

Chunga kauli zako sababu kweli aliyefiwa na ndugu yake, kwa kauli kama hii ni dhiaka na matusi
 
Mbona haueleweki? Wewe si umesema waliovunja maduka wamekula vyuma? Haulewi kwamba kwenye vurugu inawaathiri wote wote ,aliyehusika na asiyehusika?

Guys usilete utani watu wamepoteza maisha ambao walikuwa hawana hatia.
 
Acheni chokochoko ndugu zangu ujue hizi dharau kebehi na viburi kuelekeza kwa waandamanaji ni sehemu ya kuchochea maandamano
 
Mbona haueleweki? Wewe si umesema waliovunja maduka wamekula vyuma? Haulewi kwamba kwenye vurugu inawaathiri wote wote ,aliyehusika na asiyehusika?

Guys usilete utani watu wamepoteza maisha ambao walikuwa hawana hatia.
Ndiyo nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu binafsi na za Umma wameuwawa na wamestahili kuuwawa , lakini wapo pia waliokufa kwa kupigwa risasi bahati mbaya kutokana na uhalifu wenu nyumbu mlioufanya, ikiwepo wale waliokutana na risasi zilizopita dirishani na kuleta madhara kwa watu waliondani.

Ndo maaana safari hii kila nyumbu atakaefanya vurugu atafia eneo la tukio au mbele ya kielelezo alichoiba au kuharibu ili madhara yasimpate mtu mwingine.

Katika hilo hamna huruma ukikimbilia ndani utafatwa hadi uvunguni.
 
Utatumia nguvu kubwa sana
Na hiyo sio solution ya kuwanyamazisha watu.

Watu waendelee kupambania haki zao na uhuru
 
Sasa hiyo Oct 29 hadi Nov 3 kwanini msiwachukulie hatua hao wezi ,kwanini mlikuwa mnapiga tu risasi hovyo hovyo mpaka zinaingia sebuleni zinaua watu wanaangalia TV? Why sasa ndiyo mnasema kwamba mnaua watu wakiwa na vizibiti walivyioba?
 
Oct 29 na ushahidi upo, hatuzungumzii jana
 

Wewe ni mwendawazimu ambaye huna nafasi ya matibabu.

Unajifanya hujui waliokuwa wanawaua watanganyika hovyo, mpaka majumbani mwao Oct 29?

Kwani jana Abdil alileta yale mashetani ya km toka Zenji? Kutouawa watu hovyo hapo jana kumethibitisha walichoshuhudia watu Oct 29 kuwa yale mashetani yazenji ndiyo yaliyokuwa yanafanya huo ushetani wa kuua watu hovyo. Mlaaniwe sana ninyi mashetani ya visiwani. Lakini ni lazima nyakati zaja mtakapolipia damu za watu mlizozimwaga.
 
Wamejifunza kwa namna ngumu na yenye kutisha, itakuwa vigumu kwao kucheza na moto.
 
uwe unashirikisha akili unapota hoja badala ya kvma lako huyu mtoto alikuwa na tishio gani kwa polisi nguruwe we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…