PostGE2025 Ooh! Polisi waliua watu nyumbani kwao. Nani kauawa jana?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanaheshimiana kwa sababu kilichowapata policcm October29 hawatokisahau.
 
Usikubali kunyanyua kichwa chako kubishana na mtu ambae hata ukikaa kimya huna cha kupoteza
 
Kumbe yule sheikh mganga wa MACCM kule mbagala aliandamana?

Yule mtanfazaji wa clouds vipi? Alisndamana pia?
 

Brother Kuna watu walifuatwa msikitini wakiwa wanaswali wakapigwa za vichwa na hawakuwepo hata katika maandamano na mbaya zaidi kawafukia kibabe...kaacha mayatima wanalia pasipo hata kujua makaburi ya wazazi wao.
 
Masta T alikuibia nini akakimbilia getto? Shehe majini alikukwapulia nini akakimbilia getto?! Wale wakazi wanane wa Kinyerezi walikuibia nini wakakimbilia getto?! Watoto kumi na tano kwenye banda la mpira Nyamadoke Mwanza walikuibia nini?!
Unachofanya hapa ni kujitangaza kuwa umeshachanganyikiwa kwa damu za watu wasio na hatia.
 
Brother Kuna watu walifuatwa msikitini wakiwa wanaswali wakapigwa za vichwa na hawakuwepo hata katika maandamano na mbaya zaidi kawafukia kibabe...kaacha mayatima wanalia pasipo hata kujua makaburi ya wazazi wao.
Yaani ufanye uhayawani ukimbilie msikitini serikali ikuache tu?
Hata ukikimbilia kwenye maji utafuatwa na kunyooshwa .
Wale waliouliwa msikitini Kilwa kipindi cha Magufuli mbona hamkuwazungumzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…