Ona huyuuu chawa !Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona huyuuu chawa !Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter
Sioni Cha ajabu kwa kweli Mkuu, Erythrocyte.Ndio kama unavyoona
😀😀😀😀😀Kishakimbia , mara ya mwisho nimemuona Kizimkazi akicheza Singeli
Na ZittoHe was cheated....
Huu ni ukweli MchunguSioni Cha ajabu kwa kweli Mkuu, Erythrocyte.
Kwa sababu kama ni CHADEMA kuiua CCM ilishaiua miaka mingi sana..
Utafiti wangu unaonesha Kiongozi wa ngazi ya chini kabisa wa CHADEMA mfano diwani TU anaweza kuitisha Mkutano na ukajaza watu uwanja zaidi ya uwanja wa mkapa.
Wakati mbunge au waziri wa au katibu Mkuu wa CCM bila kubeba watu kwenye malori hajazi hata robo ya uwanja wa mkapa.
Hehee wenyewe mradi mkono uende kinywaniHivi hawa chawa, ata hii kero ya kukosekana mafuta hawaioni???
Binafsi leo nimechukia sana'', nilikuwa na uhitaji wa mafuta, mafuta hayapo??
Utasikia chawa ooooh mama abidul 5 tenaa
Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .
Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu
View attachment 2737814View attachment 2737814View attachment 2737815View attachment 2737816View attachment 2737817
Hata jina lako lina akisi uelewa wako!Mbowe aache blaa blaa zake na uongo wake kama kawaida yake. Asifikiri watu wamesahau mambo ya akina Joyce. Hapo Mbowe anatumia pesa za mabeberu tu ili awatumie picha za kupatia msaada wa pesa huku baadaye anakiambia chama kuwa anakidai
Wacha tu presha ipasukePuresha inapanda......
Jitekenye tuNakuhakikishia kwamba hatutakuwa na Mswalie Mtume
UtamfanyajeDC wa eneo hilo ajipange......au aanze kutafuta mashamba kama Ali Hapy
wewe na makuwadi wenzio ndio mnajidanganya.Mnajidanganya na kujiriwadha tu CCM bado chama kubwa Mara.
Fanya kidogo wana tatizo gani comredyNi kweli kiu ya mabadiliko ni kubwa sana kwa watanzania. Tatizo ni wagombea wa uraisi wanaosimamishwa na vyama vya upinzani!!
makuwadi ya warabu dpworld mwambieni mamayenu arudishe hela alizohongwa ili kugawa bandar bure za tanganyika na asipofanya hivyo atazitolea kwenye kila tundu la mwili wake.Mbowe aache blaa blaa zake na uongo wake kama kawaida yake. Asifikiri watu wamesahau mambo ya akina Joyce. Hapo Mbowe anatumia pesa za mabeberu tu ili awatumie picha za kupatia msaada wa pesa huku baadaye anakiambia chama kuwa anakidai
Hata mi mwenzao niliwaonya hawakutaka kuamini, bora umewapiga na picha kma hizo...na bado!Ndio kama unavyoona
Kazi imeanza rasmiHata mi mwenzao niliwaonya hawakutaka kuamini, bora umewapiga na picha kma hizo...na bado!