Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

Ndio kama unavyoona
Sioni Cha ajabu kwa kweli Mkuu, Erythrocyte.
Kwa sababu kama ni CHADEMA kuiua CCM ilishaiua miaka mingi sana..

Utafiti wangu unaonesha Kiongozi wa ngazi ya chini kabisa wa CHADEMA mfano diwani TU anaweza kuitisha Mkutano na ukajaza watu uwanja zaidi ya uwanja wa mkapa.
Wakati mbunge au waziri wa au katibu Mkuu wa CCM bila kubeba watu kwenye malori hajazi hata robo ya uwanja wa mkapa.
 
Huu ni ukweli Mchungu
 
Hivi hawa chawa, ata hii kero ya kukosekana mafuta hawaioni???
Binafsi leo nimechukia sana'', nilikuwa na uhitaji wa mafuta, mafuta hayapo??
Utasikia chawa ooooh mama abidul 5 tenaa
Hehee wenyewe mradi mkono uende kinywani
 
Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .

Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu

View attachment 2737814View attachment 2737814View attachment 2737815View attachment 2737816View attachment 2737817
Screenshot_20230902-134149.jpg
 
Mbowe aache blaa blaa zake na uongo wake kama kawaida yake. Asifikiri watu wamesahau mambo ya akina Joyce. Hapo Mbowe anatumia pesa za mabeberu tu ili awatumie picha za kupatia msaada wa pesa huku baadaye anakiambia chama kuwa anakidai
makuwadi ya warabu dpworld mwambieni mamayenu arudishe hela alizohongwa ili kugawa bandar bure za tanganyika na asipofanya hivyo atazitolea kwenye kila tundu la mwili wake.
 
Nimekuwa nikifiatilia mikutano yote,

Kumekuwa na zoezi la kupiga kura ya WAZI Kwa wanaopinga Mkataba FAKE wa Bandari dhidi ya wanaokubali.

Cha kushangaza, hajapatikana mwenye kukubaliana na mkataba Ule,

Najiuliza, viongozi wametoa wapi uhalali kufanya wafanyayo ilhali wananchi wanapinga?
 
Back
Top Bottom