Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

Na hapo ndo mwafrica alishikwa pu.mbu..hawez furukuta. Ukijifanya ooh hutak bidhaa kutoka njee utapigwa matukio ya vikwazo had ukubal..na kingne hii mikopo hiii daaah.ndo inawanyongonyeza kabisa watu wa africa..unaenda kwa mchina anakudai mabilion anakwambia lazima uruhusu bidhaa froma china.lazima uwe mpole.

Inshort kuna uwezekano africa tukaendelea kuwa maskin na wategemez mpaka mwisho wa dunia hii..ila poa tu..
 
China kuna vtu ukienda nunua dukan unashangaa yan unasema dah...hiz deodorant huku zinauzwa sjui elf5...kule ni mpaka 800...hvyo vtu vya electronics sasa ndo utashangaa...flash unanunua huku elf15 kule flash had 1000.
Mkuu umemaliza kazi😁😁👏👏👏👏 sa tumuombe rais asitishe baazi ya bizaa,mfano nimekumbuka pia mifuko ilivyopigwa marufuku. Bei ya mwanzo na ya sasa. Afu jambo la kukumbuka kukiwa na changamoto ndio watu watafunguka akili
 
Anzisheni kampeni ya kununua bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi,

Hao wafanya biashara wanao agiza bidhaa toka nje wakikosa soko wataacha wenyewe automatic kuagiza hizo bidhaa,

Biashara ni demand and supply,kama demand ipo basi wafanya biashara wataendelea tu kuagiza bidhaa toka nje ila demand ikipungua wataacha wenyewe.
 
Ndio uhalisia huo mzee. Mfumo ulishasukwa sasa tupo trapped hakuna kuchomoka.
 
Tena kwenye nguo unaweza acha 'semi finished 'kutoka nje
Ukazuia 'finished products' only


Mtu akilet mapazia seti hapati kibali
Lakini akiagiza Majora ya mapazia ambayo
Lazima yakatwe na kupindwa hapa hapa Tz
Unamuacha
Ni ngumu sana mtu mwenye mshahara wa 11m ..kakopeshwa kitita kama 200m akiingia akitoka anapigwa tena kama hzo kadhaa. Anakula posho ya vikao..posho za kamat etc etc...kuweza waza mambo kama hayo ...nguuum snaa...ila shega tu
 

Hakuna haja
Serikali ingesema hivi kwenye mifuko ya plastic ..isingewezekana
Cha kwanza ban Tu
Mengine yatafuata
 
Tatuzo mentality yetu watu weusi tumejijengea kudharau vya kwetu. Mtu ukimwambia anunue bidhaa fulani akijua imetengenezwa Tanzania automatically anaji tune kuwa hiyo bidhaa ni mbaya.

Yeye anataka tu made in China n.k
 
Ni ngumu sana mtu mwenye mshahara wa 11m ..kakopeshwa kitita kama 200m akiingia akitoka anapigwa tena kama hzo kadhaa. Anakula posho ya vikao..posho za kamat etc etc...kuweza waza mambo kama hayo ...nguuum snaa...ila shega tu

Lakini wao hawaoni? Interview za ajira?
Nafasi 50 wanaibuka watu elfu 30 na vyeti?
 
Na sasa watu wameamka..wa Tz wa sasa si wa miaka ya 80 na 90....sasa hvi watu wamachangamkia fursa...ila huwez kuta watu wanaongea haya bungen...au kokote..mtu akivuta posho yake ..mshahara 11m...akiingia mkopo wa kama 200m ..akitoka baada ya 5yrs anakula tena kama 300m ..... Vikao vya kamat posho za kumwaga..hawez kumbuka hilo hata sku1....kwanza wao ndo wanaongoza kuagiza vtu toka dubai china na ulaya..utamwambia nin

Inabid sasa tupaze saut na kusema..jamaan kwasasa tunaweza tengeneza..tunaomba mtupe nafas na mzuie hizo product toka nje...sasa sjui watatusikiliza...
 
Huwez shindana na mtu mwenye bidhaa yake anatengeneza na umeme wa nuclear na wew unatengeneza na umeme wa mafuta. Lazima production cost itofautiane...pia huwez shindana na mtu ambae ana ujuz kwenye hzo bidhaa kwa zaid ya karne mbili...lazima product yake iwe cheap tu compared na chako...uwekewe flash same storage moja from china inauzwa elf5 nyingne from Tz inauzwa elf 15...hata ukiwa huna akil timamu utanunua ya mchina tu...so lengo ni kuzuia kabisa ili wazawa akil ziwakae sawa ..utaona watu wanaanza tengeneza flash had vibarazan. Yaan flash ni mfano tu..kuna product nying zikizuiwa wa Tz akil itatukaa sawa ...
 
Sukari

Ni aibu kwa nchi fertile kama hii
Wakati wa Magu alipiga marufuku uagizaji wa sukari isipokuwa kwa kibali cha Ikulu.

Akasema kwasababu viwanda vilivyopo vinadhalisha sukari ambayo haikidhi soko, wapewe wao wenye viwanda waagize ili kuziba nafasi ya tani zinazopungua.

Cha kushangaza hao hao wenye viwanda wakawa wanawauziwa vibali vya uagizaji importers wale wale wa sukari.
 
Lakini wao hawaoni? Interview za ajira?
Nafasi 50 wanaibuka watu elfu 30 na vyeti?
Ndugu yangu..watu wana roho mbaya sana...mtu aliye kwenye kiyoyoz unahis hata kwanza ataskia kwamba ajira sjui watu wameitwa wamefurika...labda siku watoto wa watu wakanyagane wafe ndo akil itakaa sawa

Hali ni mbaya mitaan..ma graduate toka 2013

Yaan logic ndoogo wanashindwa ingamua..hiv kwel mna import mpaka stik?..taulo za kike..pampers. Ni aibu.. vikombe.sahan za udongo...mapazia. Viwanda urafik n the likes vimekufa...daaaah
 
Hatar sana....nchi ina laana perhaps.
 
Wabongo ni wabinafsi mnalalama bidhaa za wenzenu zisiingie halafu nyinyi mnataka mkauze kwao. Hamjifunzi ziara ya Samia Kenya? kilichofanyika ni ruhusu niingize hiki kwako na mimi nikuruhusu uingize hiki kwangu 50/50 win-win.
mama aende nchi nyingine za afrika (Sahara kusini) tuwe na bilateral agreements mfano wewe malawi niruhusu kuingiza madekio malawi, mimi tz nitakuruhusu kuingiza mafagio tz, congo ingiza vumbi, mimi naingiza mkuyati. No free lunch
 
Mzee usiwaze namna hii yaani hutaki kuchangamka mpaka Serikali wafungie
 

Mkuu hata ungeongezea na ma bombardier na dreamliners ingependeza tu.

Hata hayo hayajawa kipaumbele achilia mbali tangu yamekuja audit reports zina sema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…