Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini


Tuna kaubinafsi fulani mwenye kututibu nacho atakuwa katusaidia sana.

Tuko kama matoto yaliyolelewa vibaya. Tunadhani wengine wote ni wajinga ila sisi.

"Ya kwamba ngoja wajifungie ndani sisi tuchape kazi. Tuje tuwauzie chakula kwa bei tunayotaka sisi." Haya wazi wazi na tunaowasema wanatusikia.

Hulka dhaifu sana.
 
Ukisikia china India..Vietnam .....Korea wametoa misaada ujue moja ya masharti ni kuacha bidhaa zao ziingie nchini bila vikwazo......ukitaka kuzuia anza kwanza na misaada nchi inayopata
 
Ukisikia china India..Vietnam .....Korea wametoa misaada ujue moja ya masharti ni kuacha bidhaa zao ziingie nchini bila vikwazo......ukitaka kuzuia anza kwanza na misaada nchi inayopata
Wala hatutazuia kuagiza bidhaa zote za India au China..unaamua Tu kuchagua bidhaa zipi uagize zipi ujitegemee ..

Na hata ambazo utajitegemea unaweza agiza hizo raw material kutoka kwao
 
Ishu sio bei ishu fund juma kawa mwana siasa na kusahau yy ni fundi
 
Shida za kitaani quality mkuu,muda wanapamba juu huku ndani huko balaa,sofa baada ya miezi 6 tu linapoteza mvuto
 
1.Funitures za aina zote zitengenezwe na mbao zetu au vifunguliwe viwanda vya chuma malighafi ya Chuma hapa Tz IPO ya kumwaga.
2.Sukari,ngano na mafuta ya kula-tuna ardhi ya kulima hizi malighafi
3.nguo tuna pamba ya kutosha
4.Viatu-tuna ngombe wa kutosha

Kitu pekee ambacho tunatakiwa tu import ni capital goods
 
Shida za kitaani quality mkuu,muda wanapamba juu huku ndani huko balaa,sofa baada ya miezi 6 tu linapoteza mvuto

Quality inaenda inaongezeka
Mnaolilia quality ili mnunue vya nje msilalamike Ndugu zenu wakikosa ajira
 
Mchele na ata mitumba pia tairi baadaya ya kuboresha viwanda vyetu
 
Tun Tunaweza anza na ku import 'semi finished products' Kwanza

Watu wakaanza mdogo mdogo kuelewa vision
 
Bedsheets
Chupi
Viatu
Habdbags
 
Wazo zuri sana. Kanuni ya kuunda ajira na kuinua uchumi ni "kupenda kutumia kwa wingi zaidi bidhaa za ndani, kuuza ziada nje na kununua kidogo toka nje."
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mutu hatari sana!!!
 
Quality inaenda inaongezeka
Mnaolilia quality ili mnunue vya nje msilalamike Ndugu zenu wakikosa ajira
Vitu vinakua na quality mbaya sabab kuna zipo zinazotoka nje..sasa wakizuia kabisaa 100%...watu watatengeneza na ushindan utakuepo kias kwamba wanaotengeneza famba watajitenga wenyew automaticaly...

Ila nin mkuu huu uzi wako mzur sana ila kuna akil ndogo zmeanza ingia hum ambazo hata uchambuz kwao ni mgum. Naomba wala usiwajibu

Ilipigwa marufuk mifuko hapa gafla ..na sasa kuna mifuko ya kila aina kwa bei nafuu na kwa ubora na viwango vya hal ya juu...mfano mdogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…