Ku install kiwanda cha sukar si sawa na ku install kiwanda cha tomato sauce au pipi au maj ya kilimanjaro kiongoz..kiwanda cha sukar ni ishi nyingne..ngoja cha bakhresa kimalizike tuone...watakapozuia kabisa ndipo speed ya kuwekeza viwanda itaongezeka.sasa hiv speed ndogo sabab vtu vyote viko bwelele vinakua imported...wakizuia utaona akil zitatukaa sawa. Tutakunywa uji wa chumv kwa siku kadhaa ila baada yahapo nauhakika viwanda vya bidhaa hyo vitatapakaa kila kona...wa Tz wamebadilka sasa hv si kama wa zaman. Watu wanachangamkia fursa vbaya mnoMbona Sukari ilizuiwa kuingia mwishowe tukapoteana hadi leo bei ipo juu tu
Shida na mafundi wetu upuuzi ni mwingi. Mtu anaweza lipa fundi ila akazungushwa hadi akajuta kuingia nae mkataba wa kazi.Furniture. Furniture. Furniture. Wakianza na hilo watakua wamefanya jambo kubwa sana
Huwa nashangaa watu kununua furniture kutoka nje wakati mafundi kitaani wanatengeneza furniture nzuri sana kwa bei poa. Imagine ofisi zote zingekua na furniture zilizotengenezwa nchini tungekua wapi.
Nimeuliza tu ikiwa na wao wataamua kuzuwia wasinunue mazao itakuwaje kwa upande wetu ?
Ndio hata sisi hatuwezi kuzuwia hizo bidhaa.
Hapa tunazungumza endao zitazuwiwa.
Kuna bidhaa hazipo hivyo.
Mfano ukizuwia fagio zisitoke china utaagizia nini huko china ?
Ukizuwia miswaki istoke china utaagiza nini kama mbadala wa mswaki huko china kama ilivyokuwa mbadala wa mashati ni vitambaa ?
Kuna bidhaa ambazo ukizikatisha moja kwa moja uagizaji basi hakuna muamala mwingine unaohusiana na bidhaa hizo.
Sasa mimi ninachouliza ni kuwa,je na wao wakisema wazuwie wasinunue vya kwetu itakuwaje ?
Kuna bilateral na multilateral treaties.
Huwezi amka na kuzuia bidhaa zisiingie wakati kuna mikataba mmetia saini na nchi mbalimbali.
Mafundi wetu chenga sana.. Mimi siku hizi sitaki kusumbuana nao.Shida na mafundi wetu upuuzi ni mwingi. Mtu anaweza lipa fundi ila akazungushwa hadi akajuta kuingia nae mkataba wa kazi.
Viongozi waliopo wasiposoma nyakati, muda c mrefu watakalia kuti kavu. Kizazi cha sasa kukidanganya ni ngumu sana wanakuwa michezo yote nje ndani. Sasa hizi siasa za mwaka 40 wanazoleta miaka hii wanachemka balaa.Imagine hakuna fagio kutoka nje..halaf lina uhitaj wa kufa mtu..watu wanaotengeneza watakua weng..kama matikit yanavyofurikaga au mananas. Bei ztashuka had jero.fagio jero..simple maths tu..serikal haijataka bado wakwamua watu wake....wafanye hivyo waone...
Nchi kama nchi kwa sasa watu wameamka..we are ready for change...hata mafuta ya kula...wapige marufuk mafuta ya nje waone...utaanza ona alizet inalimwa mpaka Dar...chezea njaa wew
Wanyonge wa kuwaproganda mbona bado ni wengi tuViongozi waliopo wasiposoma nyakati, muda c mrefu watakalia kuti kavu. Kizazi cha sasa kukidanganya ni ngumu sana wanakuwa michezo yote nje ndani. Sasa hizi siasa za mwaka 40 wanazoleta miaka hii wanachemka balaa.
Then watakaonzisha hivyo viwanda ni hao hao wachina nchini.Baadhi ya bidhaa hazihitaji hilo
Kwani mafagio yakikosekana ndo nchi ita taabika?
Bidhaa ambazo sio za ulazima sana..tuzuie moja kwa moja..
Acha simu ziingie lakini zuia cover za simu
Hakuna atakae andamana kisa kakosa cover
Scarcity yake italeta ubunifu watu wataanza tengeneza wenyewe
Umenikumbusha ZZK MBEYAVIBIRITI
Mjembe
Wheelbarrows
Mapanga
Kawa kifupi zana zote za kilimo!! Mbona zamani tulikuwa na viwanda vinatengeneza?
Selective protectionism helps the growth of budding industries.
Mkuu The Boss ,naunga mkono hoja 100%.Baadhi ya bidhaa hazihitaji hilo
Kwani mafagio yakikosekana ndo nchi ita taabika?
Bidhaa ambazo sio za ulazima sana..tuzuie moja kwa moja..
Acha simu ziingie lakini zuia cover za simu
Hakuna atakae andamana kisa kakosa cover
Scarcity yake italeta ubunifu watu wataanza tengeneza wenyewe
Tatizo mafundi wetu hawajielewi hawana professionalism kbsa wameendekeza sana uswahili, usipokuwa makini kabati tu utajengewa kwa miezi hta nane!...ndio maana watu wengi hawataki usumbufu wanaamua kwenda dukani kununua furniture za mchina.Furniture. Furniture. Furniture. Wakianza na hilo watakua wamefanya jambo kubwa sana
Huwa nashangaa watu kununua furniture kutoka nje wakati mafundi kitaani wanatengeneza furniture nzuri sana kwa bei poa. Imagine ofisi zote zingekua na furniture zilizotengenezwa nchini tungekua wapi.
fagio sasa hivi zina tengenezwa hapa kuingiza ushuru wake ni mkubwa sana huwezi uza kwa faida!Mimi la kuona tunanunua mafagio kutoka China linaniumiza sana