Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

Mkuu nakubaliana nawe, zamani Tanga ilikuwa mji wenye viwanda vingi, vikiwemo:- vya nguo, plastiki, mkonge, sement, maziwa n,k; Tanga ndio mji uliopiwa na kupimika kwa ajili ya makazi ya watu na viwanda,ila nadhani kuna mdudu mtu ame idhofisha TANGA
 
Kweli kabisa, mkurugenzi aliesimamia mipango na usafi amepatendea haki kiasi chake palikuwa pa ovyo sana shy.
 
sumbawanga, katavi, musoma, mtwara, lindi, hakuna manispaa pale, ni utapeli mtupu
 
Baadhi ya vigezo muhimu vya kuipandsha hadhi aehem
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-08-16-01-14-69.png
    110.8 KB · Views: 4
Hiyo miji inastahili hiyo hadhi maana vigezo vimetimiza kulingana na vigezo walivyojiwekea.ukilinganisha na miji za nje hata Dar es salaam itaonekana takataka tu.mfano dar ulinganishe na Paris
 
Mngeenda kuiona miji ya Zambia si mngelia kabisa? Kama Mbinga au Karatu zingekuwa Zambia zingeshaitwa Manispaa.
 
Kwa ambapo nimewahi kuishi sitakubariana na wewe kwa manispaa hizi,BUKOBA,TABORA,SINGIDA.
Na vigezo ulivyoviainisha sidhani kama ni kweli.

Labda sielewi vigezo vya hadhi.
 
Hizo zote ulizotaja ni makao makuu ya mikoa. Ni suala la kisera makao makuu ya Mkoa kuwa Manispaa. Hata Kibaha na Njombe zitapata hadhi hiyo siku za karibuni.

Aidha kimiundombinu ya pale mjini Tabora na Kigoma Ujiji huwezi kubeza. Kwa area na population Tabora na Shinyanga huwezi kuziondoa.

Lakini pia kama Tunduru, Korogwe, Mbinga, Babati ni Town Councils, hizo Manispaa zilizopo hapo haziwezi kuwa kundi moja na Town Councils.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…