Kama AIDS ni fake hata mimi sitakiwi kuwepo. Akitaka kuamini aende kwenye madanguro pale Mwananyamala achukue wawili watatu apige kavu kavu ndio atajua AIDS ni fake au real.mkuu unasema aids ni fake???inabidi ujitathmini ulichokiandika
Yaaani🤓🤓🤓Kama AIDS ni fake hata mimi sitakiwi kuwepo. Akitaka kuamini aende kwenye madanguro pale Mwananyamala achukue wawili watatu apige kavu kavu ndio atajua AIDS ni fake au real.
Anhaa,..Sokwe nae ali_evolve toka kwa kiumbe gani?Ndio ipo hivo 10.0% ila ni slowly process
Hii nayo ilikuwa ndoigeAnhaa,..Sokwe nae ali_evolve toka kwa kiumbe gani?
soma tabia za kundi la hawa virusi afu ndo ujeVirus wote dunian km sio kuna kinga basi kuna njia ya kuwaondoa ....mfano hepatitis,covid,hepazoster n.k
Lakini ukimwi wanadelay chajo kwa sababu kuna kitu kinapatikana
Especially Africa tunamtegemea USA 100% katika huduma hii
Naamini wanasiasa hawajali raia wao ila wanajali 'wa kwao' inaweza kuwa familia, ndugu, kabila, imani, au kundi flani la jamii.Yaani waue raia wao zaidi ya 3,000 ili wapate sababu ya kumuua huyo mtu mmoja?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utakuwa mteja mzuri wa CD/DVD za Maustaadhi. Toka nje ya box kuna mengi utayaelewa.
Wote hao wanachanjo na pia wanabadilikasoma tabia za kundi la hawa virusi afu ndo uje
Hakuna bando za buree km umemiss kutapeliwa labdaNaomba code za free data kwa Tigo au airtel au vodacom nimechoka kununua bando,njoo DM
Another conspiracy theoryKwann kwa ukimwi tuu na sio magonjwa pandemic mengine
Ukweli kwamba huu ugonjwa ni man made na faida kubwa wanapata kupitia developing countries km misaada mfano USAID,UKAID,TWAWEZA...
Umechanganya..kuna vitu umeviweka hapo siyo nadharia..mfano Meditation na Yoga..hivi vipo kwa uhalisia wake na watu wanavifanya..Hizi ni nadharia zenye utata hapa duniani hii ndio list yangu km unayo ongeza chini hapo
●rebirth and reincarnation
●Time travelling
●Human clone
●magic mushroom
●mermaid (samaki watu)
●Allen's and UFO
●Ark of the Covenant (Sanduku la agano)
●Satan Bible
●De javuu theory
●meditation and yoga
●unlucky in 13 number
Unaruhusiwa kuongezea
[emoji117] The Flat earth Reality
[emoji117] Solar system is scam
[emoji117] Space is fake
[emoji117] Planets are fake
[emoji117] Gravitational force is scam(fake)not exist
[emoji117] Satellites are fake, they use Weather balloons as flying object in the SKY but lie you sky is space, their balloons are sorrounding the earth so that they used to call those balloons as satellite.
[emoji117] Sun is local and not the star&is not located far away as they told you
[emoji117] HIV/AIDS is scam
[emoji117] All religions are fake
[emoji117] Democracy is scam
[emoji117] Capitalism is scam
[emoji117] Socialism is scam
[emoji117] NASA's moon landing was fake
[emoji117]aliens invasion is fake
[emoji117] global warming and disasters are scams, they are both made by people and not happening naturally
[emoji117] bermuda triangle's stories are scams, they's secret agenda going there
[emoji117] Mars exploring is fake
[emoji117]freemason&illuminate stories are fake
[emoji117] World's Map is fake
[emoji117] Africa's freedom is Fake
Hayo yote yameongelewa sana sehemu mbalimbali na vyanzo mbalimbali vya, so tujitahidi kusoma tuzidi kupata maarifa, nina points za kutetea hoja zote za hayo mambo ambayo watu wamekuwa wakiyaamin ni kweli na mengine wamefundishwa kuwa yako hivi, kumbe uhalisa yako kivingine, kiufupi tunaishi dunia kwa kuujua ukweli by 10% only, na 90% wengi hamujui sababu ya watu wachache kubatilisha ukweli kwa maslahi yao hapa duniani[emoji120]
... la muhimu zaidi ni kwamba alizaliwa;wako wengi sana siku zao za kuzaliwa hazijulikani. Ungeeleza kufa na kufufuka kwake au kupaa kwake that could be a miracle; ila siku ya kuzaliwa kutojulikana na wanadamu; that's very normal.The birthday of Jesus Christ, haijawahi kuelezwa popote Yesu alizaliwa siku gani.
Yaani we unapambana na dude heavy halafu mwehu tu aje aseme unapambana na upepo simply because hajui unachopambana nacho 😂😂Kama AIDS ni fake hata mimi sitakiwi kuwepo. Akitaka kuamini aende kwenye madanguro pale Mwananyamala achukue wawili watatu apige kavu kavu ndio atajua AIDS ni fake au real.
Swali zuriAnhaa,..Sokwe nae ali_evolve toka kwa kiumbe gani?