Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naotaga kuingia kwenye paper ya somo (Physics) ambalo nilipata credit kwa binde form six. Daah! Na kila nikiota kuingia kwenye naona sitofaulu hata kidogo.Dah mkuu.hiki kitu kinanitokea hata mm ..
Asant kwa majibu wako kiongozi,yote uliyoyasema nikwel si ya kwanza (changamoto ni nyingi mno),Habari,Shule ni sehemu ya kupata maarifa mapya ambayo ukuandaa kwa maisha ya sasa na ya badae. Umesema unaota unakaribia kufanya mitihani; Mosi,huenda kuna jambo au changamoto iko mbele yako na utatuzi wake unahitaji maarifa mapya hivyo usikurupuke kufanya maamuzi. Pili,kuota unasoma wakati ushavuka hiyo hatua maana yake level yako kufikiri iko chini kuliko inavyopaswa kuwa.hiyo huathiri hata maendeleo yako, yatakuwa nyuma kuliko yalivyotakiwa kuwa. Tatu,huenda ikamaanisha kunavitu kwenye ulimwengu wa roho haviko sawa,kuna mambo yamefanyika kukwamisha maendeleo yako. Kwa ufupi na hayo mkuu kwa upande wangu,samahani kwa mpangilio mbovu.
fikra mara nyingi huathiriwa na mtazamo tu juu ya mambo,niliposema huenda level ya kufikiri iko chini si kwamba huna akili,la hasha! Nina maana uone mambo kama Mungu anavyotaka uone.Ukishatambua wewe ni nani kwa Muumba utaanza kuona mambo kwa mitazamo tofauti na awali.kuna msemo kwamba change your mindset change your life.Unajua hata Kristo mission yake kubwa ni kutusanua kwamba haiko hivi,iko hivi,ka deal na ufahamu na fikra tu.Asant kwa majibu wako kiongozi,yote uliyoyasema nikwel si ya kwanza (changamoto ni nyingi mno),
yapili
Ni nini nifanye ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikir,
Na namba tatu
Ninini maoni yako ama nini kifanyike kujinasua kweny mitego yao
Hivi mtu afanyeje ka anaota ndoto za kijijini Mara kwa maraNdoto yoyote ya kuota mambo ya nyuma au ambayo yalishapita hii ni ROHO YA KURUDISHWA NYUMA AU KUCHELEWESHWA kazi ya Roho hii ni kukuchelewesha kufikia malengo yako na 80% ya mambo yako yanakwama hasa jambo linapokaribia kupata mafanikio. Na kufanya mitihani ni kukumbana na majaribu au changamoto.kuna majaribu au mashambulizi unayoyapata. Kwa ujumla ukiota ndoto za nyumbani au kijijini n Dalili za kutumikishwa na mizimu ya eneo ulilotoka. Kumbuka ndoto ni Maisha. Unachokiota ni video clip ya Maisha yako halisi ambayo tayari yametokea au yatakayotokea. Kuwa makini sana usipuuzie ndoto unayoota
Nasubili majibu mimi ni muhanga wa ndoto hiiHivi mtu afanyeje ka anaota ndoto za kijijini Mara kwa mara
Lazima utafute MTU mwenye ufahamu kwanza akusaidie,maana ndoto hizo zinabebwa na Family spiritual. Ili kuzivunja ni lazima kwanza aelewe historia ya ukoo au familia ili angoe kabisa hiyo mizizi
Hata mimi@JohngervasNasubili majibu mimi ni muhanga wa ndoto hii