Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

😀😀😀. Hizo silaha mbona ni hatari hata mtumiaji mwenyewe!
 
Thank you na matokeo ni mpaka ziote au ukishafukia tu inatosha?
Ziote mkuu ila kama unahitaji ya haraka inafanya kazi mara tu baada ya kuiweka hii ina bidi niichre .
Inazuia moto wizi,wanga ,hata kama yumo humo ataondoka mkuu
 
Sasa mimi na subwoofer ya seapiano na inch 32 ya aborder nipoteze muda kuchemsha mafuta hapana.

Na kama you have more fanya mpango ununue bastola hata ya laki 6
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…