Kwani alienda kula?Hao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Walimu mko halmashauriAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kazi gani waliyomlipia?angelipiwa angeondoka?Kwani alienda kula?
Mimi najua alienda kufanya kazi. Kama walikuwa wanaweza kumlipia kazi zake inatosha
Kweli kabisa mkuu,kuna ambae namuona mahali kila siku anashinda kwa kula miwa tu.Yaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
Unajua kusoma?Hizo kumbe ni Taasisi za umma
Hao warusi wana njaa kali balaaMpaka: Alteza Safaris? Hemu tetea hiyo list
Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwaAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Source ni "trust me bro"Source..!!
Nenda masjala ukaone watu walivyo na njaa kali huko.Mahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
UtafitiUmetumia kigezo gani kuzinjaaisha hizi taasisi
Tcb hiyoHahaaa kuna bank hapo juu umeitaja inayohusu muunganiko wa bank nyingi nyingiii.
Juzi nimeenda toa hela kwao kwa cheque, naweza kukubaliana na ww. Kwanza maeneo ya ofisi yao machafu machafu na non decorated
Kuna mmoja namjua yuko mwanza akitoka job huwa anaendesha bodaboda.Nilishawahi kukaa jirani na wafanyakazi wa Sahara media( RFA na KISS FM) aisee wale jamaa walikuwa na njaa kali wangeweza kula hata godoro.