Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
I'm afraid, Hivi unajua Bakhressa kweli 🤣😂Bakhressa group na brella watoe hapo ,bakhressa ni moja ya taasosi zenye mishahara mikubwa kwa tz na brela
I'm afraid, Hivi unajua Bakhressa kweli 🤣😂Bakhressa group na brella watoe hapo ,bakhressa ni moja ya taasosi zenye mishahara mikubwa kwa tz na brela
Kweli walimu chenga Namba 3 huioni, Unasikitisha sana.Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Walimu mpo kwenye halmashauriAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Walimu mpo kwenye kundi la halmashauri za wilayaAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kila leo wafanyakazi wa posta bank wanaomba ajira CRDBkampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB
Kumbe huyo Mwamba hatunaye duniani? Daaah ardhi inatumeza balaaðŸ˜Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Babu waalimu wote mko Tamisemi AkA Halmashauri za wilaya 🤣🤣🤣🤣 Au hujaona list ya MwambaAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
kUACHA KAZI KUNA VITU VINGI NDANI YAKE MFANO MTU AMEPATA GREEN SEHEMU NYINGINE NA KAMA BANK KAMA MTU AMESHINDWA KUDELIVER MATOKEO LAZIMA AONDOKE NA SIO VFT TUUU ,AND NINACHOJUA VFT YA KUISHI KWA MAZOEA YA ZAMANI SIO YA SASA AND IS THE SAME TO OTHER FINANCE INSTITUTION.Kama wako vizuri unadhani kwa nini watu wanaacha kazi kila siku?
Huyo anamchuria mauti mkosoaji wa walimu.Kumbe huyo Mwamba hatunaye duniani? Daaah ardhi inatumeza balaaðŸ˜
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yaaah...wazee wa Australopithecus africanus.Tena wewe ni mwalimu wa Historia kama sijakosea.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Kweli walimu chenga Namba 3 huioni, Unasikitisha sana.
Daaah basi ashindwe na alegee kwa jina la mwenye mamlaka ya viumbe vyote hai ulimwenguni.Huyo anamchuria mauti mkosoaji wa walimu.View attachment 3387888
Hapo kwenye halmashauri za wilaya nakushauri uondoe kwenye list haraka sana...1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
St Judy schools 😄😄Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ss kwa "mtu mwenye uzoefu wa muda mrefu sanaa" 2.2m ni hela ??Sijui Kwanini Visionfund ipo na sijui umetumia vigezo ganii lkn
Ukweli ni kwamba Visionfund ni moja ya Taasisi inayolipa staff wake vizr kwa sasa
As per labour market tofauti na miaka ya Nyuma
Afisa wa chini kabisa anaweza kuwa analipwa anzia 2.2 ambayo ni salary ya mtumishi wa Umma mwenye uzoefu wa mdaa mrefuu sana.
Nishawai kufanya kazi Visionfund na WorldVision kwa miaka ya hivi karibuni.
Katka taasisi inayojali staff wake hasa hizi bank bila kusahau inafanya kazi vijijini sanaa ni Visionfund na Worldvision
Na huwezi kutenganisha World Vision na Visionfund Microfinance Bank hao ni Baba na mtoto.
Na wana training za kutosha kwa staff wake .
Sijui umezungumza hili kwa angle ipi
Kama ni maslahi ya watumishi wake nakupingaa.
Hivyo mwenye kutoa madaaa umepotoshaaaaaa sanaa na uombe toba kwa Mungu.
Af eti boss wao bilionea 😄😄MeTL ikae namba Moja kabisa.hao jamaa ni kiboko
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel