Hivi Mpwayungu Village alitangulia mbele ya haki?Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Hivi Mpwayungu Village alitangulia mbele ya haki?Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Nilishawahi kukaa jirani na wafanyakazi wa Sahara media( RFA na KISS FM) aisee wale jamaa walikuwa na njaa kali wangeweza kula hata godoro.
Wanajidhalilisha wenyewe! Wakitenda vema hawatasemwa vizuri? Kama unahusika, nenda kawajali watumishi wako!Sasa Moderator mnasubiri nini kuufuta huu uzi, ambao unadhalilisha na kuchafua mashirika ya Umma na binafsi?
Aliweka angeweka na ushahidi. Hili ni kosa kisheria. Anaweza kushtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo.Wanajidhalilisha wenyewe! Wakitenda vema hawatasemwa vizuri? Kama unahusika, nenda kawajali watumishi wako!
Huko kote umeshapita au unaishi kwa hisia tu?1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Sasa hii misukule ya ID feki utayashitaki vipiAliweka angeweka na ushahidi. Hili ni kosa kisheria. Anaweza kushtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo.
Ujue intelligence haijafanya kazi yake tu!Sasa hii misukule ya ID feki utayashitaki vipi
Sio uongoo 😂😂Hao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Mfano?Mahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
Itaje sasaHahaaa kuna bank hapo juu umeitaja inayohusu muunganiko wa bank nyingi nyingiii.
Juzi nimeenda toa hela kwao kwa cheque, naweza kukubaliana na ww. Kwanza maeneo ya ofisi yao machafu machafu na non decorated
MeTL asipokaa namba Moja hiyo orodha ni batili.Af eti boss wao bilionea 😄😄
AnajiliwazaHao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Magereza wamezidi asekampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB
Geshi la polichi sijaliona1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel