Sijui Kwanini Visionfund ipo na sijui umetumia vigezo ganii lkn
Ukweli ni kwamba Visionfund ni moja ya Taasisi inayolipa staff wake vizr kwa sasa
As per labour market tofauti na miaka ya Nyuma
Afisa wa chini kabisa anaweza kuwa analipwa anzia 2.2 ambayo ni salary ya mtumishi wa Umma mwenye uzoefu wa mdaa mrefuu sana.
Nishawai kufanya kazi Visionfund na WorldVision kwa miaka ya hivi karibuni.
Katka taasisi inayojali staff wake hasa hizi bank bila kusahau inafanya kazi vijijini sanaa ni Visionfund na Worldvision
Na huwezi kutenganisha World Vision na Visionfund Microfinance Bank hao ni Baba na mtoto.
Na wana training za kutosha kwa staff wake .
Sijui umezungumza hili kwa angle ipi
Kama ni maslahi ya watumishi wake nakupingaa.
Hivyo mwenye kutoa madaaa umepotoshaaaaaa sanaa na uombe toba kwa Mungu.