Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Alafu mkuu mimi nishakustukia...Geshi la polichi sijaliona
Alafu mkuu mimi nishakustukia...Geshi la polichi sijaliona
Sio walimu tu nenda vitengo vingine kama tume IT HR MASIJALAHalmashauri za Wilaya inawahusu walimu
Judges hao, the rest hawafikii hata nusu ya hiyo paymentMahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
Wafute Brela na Rita1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Halina njaa sema baadhi ya watu wasio na matumiz mazuri ya pesa ndio ufanya lionekane lina njaa ata TPDF pia wana njaaGeshi la polichi sijaliona
Jichanganye tuu 😂😂😂Halina njaa sema baadhi ya watu wasio na matumiz mazuri ya pesa ndio ufanya lionekane lina njaa ata TPDF pia wana njaa
Kitengo gani ?Mahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
baadhi? 😂 bro hawana unafuu, labda officers na high ranking NCOsHalina njaa sema baadhi ya watu wasio na matumiz mazuri ya pesa ndio ufanya lionekane lina njaa ata TPDF pia wana njaa
Naongea kitu nachokijua kwa undaniJichanganye tuu 😂😂😂
Hahahahaha,pale wameingia mtumbwi wa vibwengo anachojua yeye ni kutengeneza kiki tu kutembelea mgongo wa Diamond tuHao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Kula godoro,mkuu😂😂😂Nilishawahi kukaa jirani na wafanyakazi wa Sahara media( RFA na KISS FM) aisee wale jamaa walikuwa na njaa kali wangeweza kula hata godoro.
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa wa JKTbaadhi? 😂 bro hawana unafuu, labda officers na high ranking NCOs
Tpdf ndio wana unafuu, marupurupu waliyonayo poliche hawana.
Wangekuwa na njaa hiyo nchi ingekuwa pagumu kuishi
Mimi ndio maana ile kazi naichukia sana yaani hata kama niko Dubai au marekani mtu akiniambia nikafanye kazi ya ulinzi huwa nachukia sana na kumwangalia usoni kwa hasiraYaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
Sawa.. huyo jamaa namuonaga kwenye nyuzi za TISS mara sijui mossad imefanyaje..Naongea kitu nachokijua kwa undani
Mimi ndio maana ile kazi naichukia sana yaani hata kama niko Dubai au marekani mtu akiniambia nikafanye kazi ya ulinzi huwa nachukia sana na kumwangalia usoni kwa hasira
Mimi mwenyewe TISS bhna waaache kuangaika na watakatishaji pesa waje wasumbuke na mimi mlinzi wa soko 😂Sawa.. huyo jamaa namuonaga kwenye nyuzi za TISS mara sijui mossad imefanyaje..
Enough na comment zake ndo hv hv..
Na kuna uzi nilikuta jamaa anamuongelea sema kwa code..
Alisema hv kuna watu humu unaweza sema upo upande nao kumbe wana kulia timming 😂😂😂😂😂
Sasa wewe ujui maumivu ya kuminywa korodani kwa ile koleo ya umeme
Ile kazi ina laana tangu enzi ya nchi kupata uhuru hadi leo haijawahi kubadilikaMshahara 170k sumajkt nao wanyonyaji tu
KGMW ndio balaaa bado kidogo wamP Diddy dogo IBRABakhressa group nao wana njaa 😩, konde gang nao chali kumbe
Achana na huyo jamaa we comment zake angalia kama anaponda serikali we kaa kimya ila kama story zingine bardMimi mwenyewe TISS bhna waaache kuangaika na watakatishaji pesa waje wasumbuke na mimi mlinzi wa soko 😂