Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Bora kufanya biashara kuliko kupoteza muda kwenye vitaasisi uchwara.
 
Sijui Kwanini Visionfund ipo na sijui umetumia vigezo ganii lkn

Ukweli ni kwamba Visionfund ni moja ya Taasisi inayolipa staff wake vizr kwa sasa
As per labour market tofauti na miaka ya Nyuma

Afisa wa chini kabisa anaweza kuwa analipwa anzia 2.2 ambayo ni salary ya mtumishi wa Umma mwenye uzoefu wa mdaa mrefuu sana.

Nishawai kufanya kazi Visionfund na WorldVision kwa miaka ya hivi karibuni.

Katka taasisi inayojali staff wake hasa hizi bank bila kusahau inafanya kazi vijijini sanaa ni Visionfund na Worldvision

Na huwezi kutenganisha World Vision na Visionfund Microfinance Bank hao ni Baba na mtoto.

Na wana training za kutosha kwa staff wake .

Sijui umezungumza hili kwa angle ipi
Kama ni maslahi ya watumishi wake nakupingaa.


Hivyo mwenye kutoa madaaa umepotoshaaaaaa sanaa na uombe toba kwa Mungu.
Upo sahihi sana hasa world vision wanalipa fresh sema ni contractual work
 
1. St Judy schools
2. vision fund
3. Halmashauri za wilaya
4. Akiba commercial bank
5. Tanzania commercial bank
6. Dcb bank
7. Dtb bank
8. IPP media
9. Toyota Tanzania
10 . Car & General Trading Ltd
11. Rotana Hotel
12.J eshi la Magereza
13 . Jeshi la zimamoto
14. Kampuni za ulinzi
15. Mahakama
16 . Metl
17. Konde gang
18. Manara TV
19. Chaumma
20. Shirika la mzinga
21. Shirika la ranchi za taifa
22. Tafori
23. Maendeleo bank
24. Bakresa group
25. Scania Tanzania
26. Lake group
27. Pepsi
28. Camco
29. Rita
30. Brella
31. World Vision
32. New force
33. Chuo cha sayansi na teknolojia M beya
34. Alteza Safaris
35. Halotel
Kwa St Jude ulipatia zaidi..nilipoona Uzi ningeutilia mkazo....
 
Back
Top Bottom