Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Hahaaa kuna bank hapo juu umeitaja inayohusu muunganiko wa bank nyingi nyingiii.
Juzi nimeenda toa hela kwao kwa cheque, naweza kukubaliana na ww. Kwanza maeneo ya ofisi yao machafu machafu na non decorated
Tanzania commercial bank hiyo bila shaka
 
1. St Judy schools
2. vision fund
3. Halmashauri za wilaya
4. Akiba commercial bank
5. Tanzania commercial bank
6. Dcb bank
7. Dtb bank
8. IPP media
9. Toyota Tanzania
10 . Car & General Trading Ltd
11. Rotana Hotel
12.J eshi la Magereza
13 . Jeshi la zimamoto
14. Kampuni za ulinzi
15. Mahakama
16 . Metl
17. Konde gang
18. Manara TV
19. Chaumma
20. Shirika la mzinga
21. Shirika la ranchi za taifa
22. Tafori
23. Maendeleo bank
24. Bakresa group
25. Scania Tanzania
26. Lake group
27. Pepsi
28. Camco
29. Rita
30. Brella
31. World Vision
32. New force
33. Chuo cha sayansi na teknolojia M beya
34. Alteza Safaris
35. Halotel
Vp GST?
 
Mahakama hakuna njaa inategemea upo kitengo gani!

Kampuni yoyote ya
1. Mwarabu
2.Mchina
3.mweusi
4.Mhindi

Utaishi kwa tabu mno
Ofisi ya mwanasheria mkuu wananjaa eti wanaligania ml 3 kwa mwezi hadi wanataka kuuana namahala pengine ml 400 wanapigania kama mshahara kwa mwezi
 
Soma hio ya kwanza, ila kama ni Open University ukishindwa hio BBA soma Sheria(LL.B) utakuwa na nafasi nyingi sana za kazi TRA na Taasisi zingine nzuri kuliko hio BBA.

Shauri yako vitu vigumu ndio vizuri, ukisoma hio utakuwa na sifa ya kuingia Taasisi nzuri nyingi sana.
naomba kuuliza kati ya Degree ya IT na degree ya sheria, ipi ina chance kubwa ya kunisaidia niingie kwenye taasisi nzuri? (zinazolipa vzuri).
 
Back
Top Bottom