Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
36. Alliance one tobacco
 
Unaambiwa ukweli unakuwa mkali nilitegemea utakuja na hoja uthibitishe bizo Pesa huko Iselamagazk unazipaataje wewe EN unaishia kutukana, Kwanza Mzee wangu hajafa na hakuwa maskini kabisa na wala mimi sio Maskini na sitaweza kuwa maskini kamwe

Jifunze kuwa unjibu hoja vizuri mkuu!!
Eti mie ni EN hahahahaha kijana bwana
 
Mahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
Na wilayani pia inategemea uko kitengo gani

Kuna manguli wilaya za mijini kukupimia kiwanja na kukutolea hati wanataka milioni 3, hapunguzi hata jelo kwa saab wateja anao na ndo bei ya soko... . ukisema uenda mwenyewe fronti unakaa miaka mitatu... yeye anakuahidi wiki.... unadhani anapata wateja wangapi kwa mwezi?
 
M
-Ondoa BRELA Kwa sasa ni pazuri Ofisa wa brela anaenza kazi analipwa mara 2 ya askari magereza au police au zimamoto au ofisa wa halmashauri, pia wana extraduty, housing,nk
-MUST ondoa salary scale ya Tutorial Kwa sasa ni 1.75+m na Wana posho ya vipindi nk
- Taaisi nyingine kwenye orodha yako zitategemea na Cheo chako eg ukiwa Jaji unakula maisha,
MUST sio staff wote ni walimu..kuna wahasibu, IT , wahudum wa masjala, supplies officers n.k Pana Njaa Kali sanaa
 
-Ondoa BRELA Kwa sasa ni pazuri Ofisa wa brela anaenza kazi analipwa mara 2 ya askari magereza au police au zimamoto au ofisa wa halmashauri, pia wana extraduty, housing,nk
-MUST ondoa salary scale ya Tutorial Kwa sasa ni 1.75+m na Wana posho ya vipindi nk
- Taaisi nyingine kwenye orodha yako zitategemea na Cheo chako eg ukiwa Jaji unakula maisha,
BRELA Afisa II anaaanza na Tshs ngapi salary
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Kwani unatakaiwa ulipwe Tsh ngapi ili ionekane kwamba hakuna njaa? Kwani mishahara huwa ni sawa kwa wafanyakazi wote walioajiriwa kwenye kampuni husika? Hata BOT au Bandari kuna watu wanakula Mshahara Manara(Laki 7) na kuna watu wapo kampuni za kawaida hazijulikani kabisa wanakunja hadi 4m.

Tuweke benchmark kiwango kipi ukilipwa means utaishi kwa TABU? Je hakuna watu wanaolipwa juu ya hicho kiwango na wakawa wanaishi kwa tabu kwasababu ya matumizi MABOVU?

Je hakuna watu wanalipwa kiwangoi hicho hicho cha chini ila wakawa na nidhamu ya pesa au wakawa na extra income pembeni wakaishi vizuri?

Kuna Ma CEO wanakula salary 20m na huwa wanashangaa inawezekane mtu kuishi kwa 4m kwa mwezi na ikatosha? Same na wewe unaochukua MANARA(Laki 7) unashangaa inakuwaje Mlinzi anakula laki na nusu na anasurvive fresh?
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Wasafi media wafanyakazi wamekimbia njaa
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Brela Company registration fees zote zile, bado bila bila pale.
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Nazani hujaaahau kitu bigup
 
Back
Top Bottom