Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Mkuu sasa utakuta ni Darasa la saba au form 6 sasa safari ya kwenda wapi?. Jeshi uzuri wake unaweza kupata kitengo center pesa kila siku ukaondoka na laki 3.
Kumbuka kuna kozi za kijeshi pia sio kila mwenye kitengo basi safari ana pata
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
camco pakavu balaa
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Namba 3
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Nadhibitisha #30
Nilishangaa sana.
#34 nawajua pia.
#24, #25 na #26 kuna Idara wanapiga sana pesa.
Sio wote choka mbaya.
 
Hao konde gang yule msanii wao aliyeondoka hivi karibuni alisema kuna njaa isiyo ya mfano, boss wao yeye anajua kuvuta bangi tu
Inawezekana ikawa kweli! Nahisi hata sponsor wa Konde gang kapiga break za mbwa!!! Baafa ya matumizi kupita kipato!!
😂😂😂😂
No more Tours!! gang aanze piga ile chaka kwa chaka ndo kilichobaki!! Au asubili kampeni za ccm!! Na sijui kama atapata, maana yeye alikuwa team Magufuli!! Ama kweli kila zama na wakati wake!!
Koooonde Gaaang!!!
😂😂😂
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
10. Nilipitaga hapo. Nilishamaliza shahada ya kwanza, nikawa nasoma masters tena nikiwa na uzoefu wa miaka 3 ya kazi. Jamaa walikuwa wananilipa laki 4 nikapewa na department moja kuiongoza. Nikawa nawaonea huruma wafanyakaz wengi nikiamini wanalipwa kidogo zaidi.

siku moja nikakutana na salary slip ya mtu anayeripoti kwangu akilipwa mshahara kama mimi tu, tena yeye ni form 4 asiye na fani.


Nilijidharau, niliacha kazi kwa stress 😂😂
 
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa wa JKT
Ila wakitangaza ajira watu laki mnaomba
 
Hakuna tofauti bro elimu now inalipwa majeshi yote wanacho wazidi ni kwamba TPDF Kuna kozi zinalipwa ilo tu na mikopo yao mikubwa basi ila ukikaa na mwanajeshi utajua hamna hela wengi njaa tu wanakopa vibaya hasa wa JKT
  • wanacho wazidi ni salary scale yao ni kubwa, salary scale ya junior officer ni sawa na junior officer wa police?
  • Kukopa ni tabia Kuna maofisa wa tra kibao wanakopa
 
Back
Top Bottom