Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Nimekubali baada ya kuziona Kampuni za Ulinzi, yanii Gardaworld, SGA, na G4s utamkuta mkurugenzi analipwa million 50 kwa mwezi lakini Admin wanaofuatia wakipata hata million na Nusu Mungu anajua, walinzi sasa hata laki nne kuipata labda Jua lishuke..huko local sasa sijui suma, K4s ndo usiguse sasa huko ukiambulia laki tatu sema Mitano tena.
 
-Huwezi kujilinganisha na TPDF,
Angalia salary scale ya nyota 1 ya tpdf na nyota 1 ya Police, ndio utaona gap lililopo.
- Madeleka aliacha KAZI na cheo Cha inspector ambacho salary scale yake ya kuanzia ni 990,000-1,170,000/- (Bar),
Mm kwangu wote nawaona kawaida sio polisi sio jeshi
 
Sijui Kwanini Visionfund ipo na sijui umetumia vigezo ganii lkn

Ukweli ni kwamba Visionfund ni moja ya Taasisi inayolipa staff wake vizr kwa sasa
As per labour market tofauti na miaka ya Nyuma

Afisa wa chini kabisa anaweza kuwa analipwa anzia 2.2 ambayo ni salary ya mtumishi wa Umma mwenye uzoefu wa mdaa mrefuu sana.

Nishawai kufanya kazi Visionfund na WorldVision kwa miaka ya hivi karibuni.

Katka taasisi inayojali staff wake hasa hizi bank bila kusahau inafanya kazi vijijini sanaa ni Visionfund na Worldvision

Na huwezi kutenganisha World Vision na Visionfund Microfinance Bank hao ni Baba na mtoto.

Na wana training za kutosha kwa staff wake .

Sijui umezungumza hili kwa angle ipi
Kama ni maslahi ya watumishi wake nakupingaa.


Hivyo mwenye kutoa madaaa umepotoshaaaaaa sanaa na uombe toba kwa Mungu.
Wewe ni meneja unatetea dinning table,ila Mimi nadhani hata ikulu Kuna njaa sababu bibi kapotea kajificha kwenye deni la taifa.
 
Mahakama hakuna njaa inategemea upo kitengo gani!

Kampuni yoyote ya
1. Mwarabu
2.Mchina
3.mweusi
4.Mhindi

Utaishi kwa tabu mno

Mbona silent ocean (GSM)maisha hayako hivyo ?!

Mpaka vijana wamejenga na wanaishi vizuri tu?!

Acha kudanganya uma kwa ajili ya maono na chuki zako binafsi
 
Mbona silent ocean (GSM)maisha hayako hivyo ?!

Mpaka vijana wamejenga na wanaishi vizuri tu?!

Acha kudanganya uma kwa ajili ya maono na chuki zako binafsi
Silent ocean anaingiza fedha nyingi mno hiyo ni 1%

Ingekuwa mzungu angefanya zaidi
 
kampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB
Hiyo benki uliyoitaja hapo aliteuliwa pale Mkurugenzi mtendaji mkuu kijana mmoja mvaa mawani blazameni kidingi, jina lake la mwanzo ni la nabii wa kwanza kuumbwa na mungu, na surname yake ni ile dalili mtu anatoaga ya kuwika kwa kupanua mdomo na kutoa hewa mdomoni akiwa ana usingizi au njaa

Yule kijana alipoteuliwa akawatolea wenzake allowances na marupurupu yote! Alafu yeye na timu yake wanakula maisha wenzie wako juu ya mawe wanaishi kwa mishahara tu… No fyokofyoko, alafu ni benki ya serikali

Famasiala nini 😄🙌🏾
 
Back
Top Bottom