Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Yule jamaa alifariki?! 😳Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Yule jamaa alifariki?! 😳Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Ila bi. Maza upogo kisoja soja sana!Source ni "trust me bro"
Mule juu wamejaa watu wahuni wahuni, wajanja wajanja na wenye roho mbaya tu! Wale ndo wanaihujumu ile benkiTcb hiyo
Askari polisi, Afande fetty wa mikoroshini, nipo kituo kimoja na Afande Ertugrul BeyIla bi. Maza upogo kisoja soja sana!
Sijui askari magereza wewe 😄🙌🏾
Mimi mwenyewe namshangaa… sijui kalewa 😅Bakhressa group na brella watoe hapo ,bakhressa ni moja ya taasosi zenye mishahara mikubwa kwa tz na brela
Pamejaa njaa sana hapo,usiangalie show off za kina manara ukadhani ni za kweli,kuna demu yuko hapo kila tarehe 5 lazima anigongee nauli.Mbona silent ocean (GSM)maisha hayako hivyo ?!
Mpaka vijana wamejenga na wanaishi vizuri tu?!
Acha kudanganya uma kwa ajili ya maono na chuki zako binafsi
Yup ila aliposikia walimu wanaanza kupewa ahueni na serikali akatoroka huko umautini kuja kupingaYule jamaa alifariki?! 😳
Hando na kitenge pesa wanayo, hando elimu ipo… mjanja mjanja, mtu wa madili na koneksheni anazo toka alipokuwa CMG alikuwa na cheo na miongoni mwa watu waliokuwa na asili ya ushua toka makwao.Mbona watangazaji wa huko kama Kitenge,Hando na Zembwela wanajimwambafai sana sasa?
Suma jkt wanalipa shingap?Nimefurahi kuziona Kampuni za Ulinzi, yanii Gardaworld, SGA, na G4s utamkuta mkurugenzi analipwa million 50 kwa mwezi lakini Admin wanaofuatia wakipata hata million na Nusu Mungu anajua, walinzi sasa hata laki nne kuipata labda Jua lishuke..huko local sasa sijui suma, K4s ndo usiguse sasa huko ukiambulia laki tatu sema Mitano tena.
[emoji23][emoji23]Nilishawahi kukaa jirani na wafanyakazi wa Sahara media( RFA na KISS FM) aisee wale jamaa walikuwa na njaa kali wangeweza kula hata godoro.
Hebu mfuatilie… una uhakika yupo Silent Ocean kweli?! Au alikudanganyaga? 🤔Pamejaa njaa sana hapo,usiangalie show off za kina manara ukadhani ni za kweli,kuna demu yuko hapo kila tarehe 5 lazima anigongee nauli.
Hizo Halmashauri za Wilaya ndio tunakutana sasaAsavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hiyo jeuri uliiona wapi kwake? Au Kwa kutamka tu? Kama ni kutamka si ni rahisi tu.Mimi mwenyewe namshangaa… sijui kalewa 😅
Kuna kijana ni mhasibu hapo Bakhresa group… ana jeuri ya kununua gari kwa 100M
Anafanyia ile ofisi ya Kariakoo ambapo mzee mwenyewe huwa anakaa, kwahiyo kupishana na kuonana na mzee kama pua na mdomo
Sio salary lakini. Hiyo ni nje ya salary.Mahakamani inategemea upo kitengo gani mkuu!! Kuna watu wanacheza na 8M per month
Uzi ulipaswa ufungwe hapa MkuuHuu uzi mbona ni kama unachekesha..? 😀
Ila kiukweli kwa nchi yetu, ukiacha viongozi wakubwa serikalini, wabunge, wakurugenzi na top staff kwenye makampuni, na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, sisi wengine wote ni njaa kali tuu wala hatuchekani..
Kila taasisi ina watu wachache wenye neema, na wengi njaa kali..!
TPDF na Polisi ni wizara mbili tofauti mkuu, Na ni kweli TPDF wapo na salary nzuri kidogo kuliko hawa wa Mambo ya ndani japo Mambo ya Ndani kwa sasa (Polisi, Magereza,Uhamiaji, Zimamoto) wameanza kulipa mishahara kulingana na Professional unaweza kuta mtu ni Constable ila kwakuwa anataaluma Flan level ya Degree kuna Mishahara wanaweka na hili ni kuvutia watu wajiunge-Huwezi kujilinganisha na TPDF,
Angalia salary scale ya nyota 1 ya tpdf na nyota 1 ya Police, ndio utaona gap lililopo.
- Madeleka aliacha KAZI na cheo Cha inspector ambacho salary scale yake ya kuanzia ni 990,000-1,170,000/- (Bar),
TPDF wako na Salary scale nzuri na baadhi hasa wkufunzi ndio unakuta wana allowances nzuri ila kwingine hawana tofautibaadhi? 😂 bro hawana unafuu, labda officers na high ranking NCOs
Tpdf ndio wana unafuu, marupurupu waliyonayo poliche hawana.
Wangekuwa na njaa hiyo nchi ingekuwa pagumu kuishi
Ni kweli lakini wanatumia scales equivalent to za tamisemi, hivyo hamna maajabu mfano unalipwa salary scale 900,000 hiyo bado ndogo, at least ingekuwa kuanzia 3mTPDF na Polisi ni wizara mbili tofauti mkuu, Na ni kweli TPDF wapo na salary nzuri kidogo kuliko hawa wa Mambo ya ndani japo Mambo ya Ndani kwa sasa (Polisi, Magereza,Uhamiaji, Zimamoto) wameanza kulipa mishahara kulingana na Professional unaweza kuta mtu ni Constable ila kwakuwa anataaluma Flan level ya Degree kuna Mishahara wanaweka na hili ni kuvutia watu wajiunge
Ndio bank yangu, nikimbie mkuu?kampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB