BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Mods walivo na hasira za papo kwa papo nadhani Jamii Forums nayo itakuwa taasisi yenye njaa sana
Zamani ilikuaje mkuu??Mkuu Dawasa njaa imekuja miaka hii baada ya mifumo kubadilika
Zamani ilikua unsongea na fundi wa Dawasco anakuja kukuvutia maji na mita akimaliza unampa pesa yeye, na ukiwa uliipii maji siku wakaguzi wakipita wakitaka kukufungia unawapa elf 10 fundi wao anafungua mita na zamani ilikua unaenda kulipia ofisini kwao na siyo kwenye simu .Zamani ilikuaje mkuu??
TCB njaa ni ya kiwango cha juu,nilishangaa kumkuta had Branch Manager wa tawi fulani kwenye zile interview za TRA pale sabasaba groundScania nao kumbe wana njaa kali kama sisi wa halmashauri?
Hao TCB nao kumbe nenge kali?
Yeye mwenyewe alikua anaishi kwa kudra za GSM,saivi yuko juu ya mawe.Manara Tv mbona anajisifu wafanyakazi wake kawatafutia nyumba Bahari Beach
magereza nadhani ni ya kwanza, na kwa namna wanavyomnyanyasa lisu, wakae hivyo hivyo wasiongezwe mishahara ili wakope hadi wapate akili.1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Ule mradi wake wa kufunga ndoa mpya kila siku naona sahivi ni mradi mfu hawezi tena kujipatia pesa kwa kufunga ndoa maana kashawakera matajiri zake kina GSMYeye mwenyewe alikua anaishi kwa kudra za GSM,saivi yuko juu ya mawe.
Mkuu.. tutajie jina kwani anakuona?Hiyo benki uliyoitaja hapo aliteuliwa pale Mkurugenzi mtendaji mkuu kijana mmoja mvaa mawani blazameni kidingi, jina lake la mwanzo ni la nabii wa kwanza kuumbwa na mungu, na surname yake ni ile dalili mtu anatoaga ya kuwika kwa kupanua mdomo na kutoa hewa mdomoni akiwa ana usingizi au njaa
Yule kijana alipoteuliwa akawatolea wenzake allowances na marupurupu yote! Alafu yeye na timu yake wanakula maisha wenzie wako juu ya mawe wanaishi kwa mishahara tu… No fyokofyoko, alafu ni benki ya serikali
Famasiala nini [emoji1][emoji1487]
- tra ni tra tu huko kuna mipango mingi ya pesa compared to mshaharaTCB njaa ni ya kiwango cha juu,nilishangaa kumkuta had Branch Manager wa tawi fulani kwenye zile interview za TRA pale sabasaba ground
Mpwayungu alifariki lini jamani?Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Wee huyu jamaa kakata kamba kweli, au kabadili I'd TU 😂Toka mpwayungu village atangulie mbele ya haki hakika mmepumzika kusakamwa
Ziraili katwaa kilicho chakeWee huyu jamaa kakata kamba kweli, au kabadili I'd TU 😂
Tuziombee1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Mkuu tararu mishahara yao ikoje?Tarura🤣🤣
Tarura Pako vizuri sana,Tarura🤣🤣