Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

- Taasisi nyingi za umma zimeweka ukomo wa siku za kusafiri baadhi ninazozijua kwa mwezi ni siku 20.
-Hapo ukipiga hesabu kwa mwezi akipata sana ni 3m
We acha utani kwa siku laki 150 au laki 130 kwa mwezi na kazi za site kama kuna mradi hakuna kitu kama hicho ngoja ninyamaze nisijetoa siri za watu.
 
Mleta mada utakuwa mjinga sana kuna wengine tupo halmashauri tunapiga hela nyingi sana na hauwezi kunishawishi kutoka huku Tamisemi kabisa hivi umewahi kufanya kazi vijiji vya usukumani? Hasa ukiwa health personal jinsi wasukuma wanavyokunyenyekea? Sasa kuna flow ya pesa nyingi sana aisee we jidanganye hivyo hivyo
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Media zote usitishike na poda wanazopaka na kuchekacheka kwenye TV kama vile hawana shida wanafake sana life
 
Mi sijui watu wanaishije ila nachojua wanaishi. Ila nchi yetu nayo ni kasheshe. What do you mean I have to survive on less than 1M a month?
”.
sijui kwa vile mi ni shabiki wa simplicity au ndio asili yangu, ila 1m kuimaliza kwangu ni kasheshe.

uki acha wi-fi, kula, outing 1-2, shopping for my family, siimalizi.
 
1.St Judy schools
2.vision fund
3.Halmashauri za wilaya
4.akiba commercial bank
5.Tanzania commercial bank
6.Dcb bank
7.Dtb bank
8.IPP media
9.Toyota Tanzania
10.Car & General trading ltd
11.Rotana hotel
12.Jeshi la Magereza
13.Jeshi la zimamoto
14.Kampuni za ulinzi
15.Mahakama
16.Metl
17.Konde gang
18.manara TV
19.chaumma
20.shirika la mzinga
21.shirika la ranchi za taifa
22.Tafori
23.Maendeleo bank
24.Bakresa group
25.Scania Tanzania
26.Lake group
27.pepsi
28.camco
29.Rita
30.Brella
31.World vision
32.New force
33.Chuo cha sayansi na teknolojia mbeya
34.Alteza Safaris
35.Halotel
Kuna wengine sawa, ila hawa akina Bakresa group wana njaa gani hao
 
We acha utani kwa siku laki 150 au laki 130 kwa mwezi na kazi za site kama kuna mradi hakuna kitu kama hicho ngoja ninyamaze nisijetoa siri za watu.
  • ukipewa mradi unakuwa unapanga siku za kwenda site
  • kuna baadhi ya miradi michache mikubwa ambayo engineers wako site kila siku hadi mradi uishe, eg ya hiyo miradi ni tanga -pangani- bagamoyo road,
  • Ila miradi mingi ni ya kwenda unakaa some days unarudi ofisini
 
Mleta mada utakuwa mjinga sana kuna wengine tupo halmashauri tunapiga hela nyingi sana na hauwezi kunishawishi kutoka huku Tamisemi kabisa hivi umewahi kufanya kazi vijiji vya usukumani? Hasa ukiwa health personal jinsi wasukuma wanavyokunyenyekea? Sasa kuna flow ya pesa nyingi sana aisee we jidanganye hivyo hivyo
Yaaan upo hspo Lyabhukande au huko Iselamagazi ndio uje utudanganye mkuu kiufupi HP ukiwa huko TAMISEMI na Hizi RRR njaa ni ile ile mkuu
 
Yaaan upo hspo Lyabhukande au huko Iselamagazi ndio uje utudanganye mkuu kiufupi HP ukiwa huko TAMISEMI na Hizi RRR njaa ni ile ile mkuu
Upuuzi! Waajiriwa wengi mtaendelea kuwa masikini kwa kuhisi ili ufanikiwe lazima uwe na posho nyingi endelea kuwa mpumbavu ufe masikini kama alivyokufa baba yako masikini kule kwenu.
 
Mleta mada utakuwa mjinga sana kuna wengine tupo halmashauri tunapiga hela nyingi sana na hauwezi kunishawishi kutoka huku Tamisemi kabisa hivi umewahi kufanya kazi vijiji vya usukumani? Hasa ukiwa health personal jinsi wasukuma wanavyokunyenyekea? Sasa kuna flow ya pesa nyingi sana aisee we jidanganye hivyo hivyo
Kuna flow ya pesa kama Tra? Salary scale yako laki8, ni obviously huwezi jilinganisha na tra,
Sijawahi kuona mkunga kajenga gorofa, ila maofisa wa tra, ngorongoro wengi wanamagorofa
 
Back
Top Bottom