Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Jeshi wana ratiba za mafundo , ambao ni constant..Uzuri wa jeshi wanajua mpaka mafunzo yao wa mbeleni ,ila hawana safari za kushtukiza na wizi.Mkuu sasa utakuta ni Darasa la saba au form 6 sasa safari ya kwenda wapi?. Jeshi uzuri wake unaweza kupata kitengo center pesa kila siku ukaondoka na laki 3.