Njoo kinole hapa upate boxer mpya kabisa ushindwe wewe kufanya kaziUnipe tena bwana aseee
Boda hapana siwez kuendesha kamweNjoo kinole hapa upate boxer mpya kabisa ushindwe wewe kufanya kazi
Huna njaaaBoda hapana siwez kuendesha kamwe
KweliHuna njaaa
Bas Kwa Leo imetutosha kwel tuna njaa sana hata hapa nipo LINDO la mnara juu ya mlima na nna Hakka mchana sitakulaYaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
HiyoSs kwa "mtu mwenye uzoefu wa muda mrefu sanaa" 2.2m ni hela ??
Kabisaa mkuuNaona muhasibu wa kampuni umekuja kumtetea boss wako
Na jeshi pia hakuna safari mtu unakaa kazini miaka 4 ujawai kupewa safari zaidi ya kubeba silaa tuHii hoja ina inamapungufu. Unqeza kuwa unalipwa mili 2,3 au 4 halafu ndo hiyo hiyo mpaka mwezi unaisha, na mshahara wako huo kwa mwaka unaweza kufasiri mora moja ama upite bila kusafiri, na taasisi haina activities za maana za kuwapa chochote. Taasisi ya namna hii naweza kusema ndio yenye njaa kali.
Ila kuna taasisi hasa za serikali wanalipa mishahara hata chini ya hiyo niliyotaja hapo juu ila marupurupu ni mengi, watu wana activities nyingi, project, safari na wanapata pesa nzuri maisha yanasonga. Taasisi ambazo nafikiri zinaongoz kwa maisha magumu ya wafanyaki ni hizi taasisi za Elimu kwa maana ya Universities/Colleges etc. Wapigaji wa hela ni wakuu na waandamizi wake ila hao wengine ni njaa kali. Unabaki tu na sifa unafundisha chuo ila kimaisha ni stress kwenda mbele.
Out of all the resources in any company, people are the most important resource. Acha kujitetea kwa namna yoyote, nenda kawajali watu wako!! Ukiwajali watafanya kazi kwa kujituma na kwa ufanisi mkubwa!! Walahi, hata Mungu wa mbinguni atakubariki!Aliweka angeweka na ushahidi. Hili ni kosa kisheria. Anaweza kushtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo.
😂😂, MuoneeNikupe bwana sio nikuoe 🤣🤣🤣🤣
Nachat na mawardat hapa nachanganya mambo
Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Walimu wapo hapo kwenye namba 3Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.