Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Niombe kazi bas niwe mlinzi wakeSawa sawa faza... Nakupa salamu ka zote 😂😂😂🙌🙌
Niombe kazi bas niwe mlinzi wakeSawa sawa faza... Nakupa salamu ka zote 😂😂😂🙌🙌
😂😂😂😂😂 Wewe unataka kunigombanisha etNiombe kazi bas niwe mlinzi wake
Mwambie bhna😂😂😂😂😂 Wewe unataka kunigombanisha et
Ngoja niongee nae tuone..Mwambie bhna
Nampa kwani shingapi 😂 muhimu nipate kaziNgoja niongee nae tuone..
Ila ukiskia anakwambia tuma namba ya nida staki maswali
Umewahi kuingia tawi lolote la Azania bank kweli?Hahaaa kuna bank hapo juu umeitaja inayohusu muunganiko wa bank nyingi nyingiii.
Juzi nimeenda toa hela kwao kwa cheque, naweza kukubaliana na ww. Kwanza maeneo ya ofisi yao machafu machafu na non decorated
Mungu akubariki hata kwa kuwafikiria, kuna wale wanafungulia wateja milango 😔😔😔 huwa natamani kumwambia nitafungua mwenyewe. Unakuta ni mzee sana, kajichokea na huwa wanadumu miaka mingi, wa aina ile, unaweza ukapunguza vitu vya kununua ili ukitoka, umkunjie kahela mkononi.Yaani mi naweza nikapita mahali sina hela na nina njaa lakini nikimwona mlinzi mawazo hunijia "huyu bwana sijui nimsaidieje"... walinzi wamekaa kifukara sana, pigo flani za njaa njaa sana.
Hao roho mbaya sana hawafai kabisaIpo kwa hali ya juu kabisa😂😂 boss mbongo na nyanyasika
Wale wanakuaga wastaafu sana sanaMungu akubariki hata kwa kuwafikiria, kuna wale wanafungulia wateja milango 😔😔😔 huwa natamani kumwambia nitafungua mwenyewe. Unakuta ni mzee sana, kajichokea na huwa wanadumu miaka mingi, wa aina ile, unaweza ukapunguza vitu vya kununua ili ukitoka, umkunjie kahela mkononi.
Ujawahi kupigwa basi ya mapaja wewwNampa kwani shingapi 😂 muhimu nipate kazi
Nipe mjapana ase basHao roho mbaya sana hawafai kabisa
Wewe mim sio muoga we mpeUjawahi kupigwa basi ya mapaja weww
Wee njoo nikuoe bodaboda uwe boss ni weweNipe mjapana ase bas
We nawe, bank ya posta ni TPB, halafu kampuni za ulinzi mishahara yao ni kati ya 100,000./ hadi 400,000/kampuni za ulinzi na askari magereza wana hali sawa na waalimu,wanategemea mishahara,TCB hiyo benki ya posta nayo wafanyakaz wana hali ngumuu tofauti na wa NBC NMB CRDB
Unazingua sasa wewe wakiume mmWee njoo nikuoe bodaboda uwe boss ni wewe
Poa mkuu takuunganisha naeWewe mim sio muoga we mpe
Nikupe bwana sio nikuoe 🤣🤣🤣🤣Unazingua sasa wewe wakiume mm
Unipe tena bwana aseeeNikupe bwana sio nikuoe 🤣🤣🤣🤣
Nachat na mawardat hapa nachanganya mambo