DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Mbona Samia ameajiriwa na ni Don... Sasa kama wewe unafanya kazi za Consultation huoni Wanaume tumekuajiri maana tunakulipa we boya.Don wakati umeajiriwa
Mbona Samia ameajiriwa na ni Don... Sasa kama wewe unafanya kazi za Consultation huoni Wanaume tumekuajiri maana tunakulipa we boya.Don wakati umeajiriwa
- customs
-taxation
- accounts
- economics
Mbona Samia ameajiriwa na ni Don... Sasa kama wewe unafanya kazi za Consultation huoni Wanaume tumekuajiri maana tunakulipa we boya.
Nzuri pia ila taxation na customs ndio zenyewe
- Bachelor of Business Administration Accounting (BBA ACC)
- Bachelor of Business Administration Finance (BBA FIN)
Hizo vip mkuu,ziko sawa? Zinatolewa na Open university..kati ya hizo mbili ipi ni the best.
Una tumajigambo flani hv kuna mafala wenzako wanakuchukulia serious.-kwa kipato chako ww unaweza kukodisha land surveyor ?, una mradi wa heka hata 20?
- Kwa hiyo malipo ya rais yanalingana na ya kwako?
- ww si unapata makombo tu
Toa CWT na Ruwasa kwenye orodha yako tafadhariOngeza na hizi
1.mwalimu bank
2.Airtel
3.Brac
4.Asa microfinance
5.Gpsa
6.cwt
7.chama cha wanasheria Tanganyika
8.ruwasa
- Mimi pia nilikuwa mtumishi wa umma niliacha kazi na cheo Cha senior land surveyor, wewe endelea kupambana na mikopo ya milioni10Una tumajigambo flani hv kuna mafala wenzako wanakuchukulia serious.
Ruwasa pako vizuriToa CWT na Ruwasa kwenye orodha yako tafadhari
Ruwasa wazee wa site...Ruwasa pako vizuri
Soma degree hizi:Mkuu,course zipi hizo mtu akipiga anaweza kupata shavu TRA?
BrilliantSoma degree hizi:
1. Taxation
2. Customs
3. Accountancy
4. Finance
5. Public Finance
6. Economics
7. Business Administration
8. Law
Hapo unaingia TRA kama Customs Officer au Tax Management Officer.
1.Bachelor of Business Administration Accounting (BBA ACC)Soma degree hizi:
1. Taxation
2. Customs
3. Accountancy
4. Finance
5. Public Finance
6. Economics
7. Business Administration
8. Law(LL.B)
Hapo unaingia TRA kama Customs Officer au Tax Management Officer.
Soma hio ya kwanza, ila kama ni Open University ukishindwa hio BBA soma Sheria(LL.B) utakuwa na nafasi nyingi sana za kazi TRA na Taasisi zingine nzuri kuliko hio BBA.1.Bachelor of Business Administration Accounting (BBA ACC)
2.Bachelor of Business Administration Finance (BBA FIN)
Hizi vip mkuu,zinafit hapo? Nataka niifanye mojawapo kupitia Open university ili kuokoa muda maana tayari nina check no.
Mkuu LLB naweza soma bila shida open University? Msuli si utakuwa mgumu sana 😀Sio hio ya kwanza, ila kama ni Open University ukishindwa hio BBA soma Sheria(LL.B) utakuwa na nafasi nyingi sana za kazi TRA na Taasisi zingine nzuri kuliko hio BBA.
Natamani ufute hii comment na uipost upya kwasababu nilichapia na nime-edit.Mkuu LLB naweza soma bila shida open University? Msuli si utakuwa mgumu sana 😀
Shauri yako vitu vigumu ndio vizuri, ukisoma hio utakuwa na sifa ya kuingia Taasisi nzuri nyingi sana.Mkuu LLB naweza soma bila shida open University? Msuli si utakuwa mgumu sana 😀
amba mtu anashindwa kuwa tajiri kisa ameajiriwa?Don wakati umeajiriwa
Vp mtamuandika pia?Dg unajifanya una hela wakati maDon tunakuchora tu.
Nursing inalipa Mkuu,kupitia public health vijana wanakula pesa ya mzungu upande wa huduma za kinga za maambukizoBrilliant
Lakini sio degree sijui nursing, pharmacy, sociology,