SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Alisema ml 400 ngoja niwape hii video you tubeAlikuwa analipwa Mil 45.
Magu aliishusha mpaka Mil 15.
Ila hakuichukua, aliondoka akarudi kwenye Taasisi ya nje.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Alisema ml 400 ngoja niwape hii video you tubeAlikuwa analipwa Mil 45.
Magu aliishusha mpaka Mil 15.
Ila hakuichukua, aliondoka akarudi kwenye Taasisi ya nje.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Fvck offMimi natembeaa na Yesu na siohofu chochotee
Zipo kada nyingi tu zinalipwa mishahara kama ya walimu.
Aingie Custom.Soma degree hizi:
1. Taxation
2. Customs
3. Accountancy
4. Finance
5. Public Finance
6. Economics
7. Business Administration
8. Law(LL.B)
Hapo unaingia TRA kama Customs Officer au Tax Management Officer.
TRA huwezi kuingia kwa course za science ya binadamu.Wapi
nimekuambia mimi nahitaji kuwepo huko TRA mkuu? Kwahisi nisifanye biashara kwasababu mimi sijasoma business related field? Njoo inbox nitafute nikupe hela ya soda na nikutumie akauti yangu uone ina pesa ngapi
Madam hata mimi niko Halmashauri ila sasa niko masomoni.Mleta mada utakuwa mjinga sana kuna wengine tupo halmashauri tunapiga hela nyingi sana na hauwezi kunishawishi kutoka huku Tamisemi kabisa hivi umewahi kufanya kazi vijiji vya usukumani? Hasa ukiwa health personal jinsi wasukuma wanavyokunyenyekea? Sasa kuna flow ya pesa nyingi sana aisee we jidanganye hivyo hivyo
Achana na side hustle kila mtu ana side hustle zake na mapambano yake nje ya kazi.Upuuzi! Waajiriwa wengi mtaendelea kuwa masikini kwa kuhisi ili ufanikiwe lazima uwe na posho nyingi endelea kuwa mpumbavu ufe masikini kama alivyokufa baba yako masikini kule kwenu.
naomba kuuliza kati ya Degree ya IT na degree ya sheria, ipi ina chance kubwa ya kunisaidia niingie kwenye taasisi nzuri? (zinazolipa vzuri).TRA huwezi kuingia kwa course za science ya binadamu.
Soma IT au/na/hasa course za biashara
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kila course uliyoitaja inalipa, ila huko uendako wana nafasi hiyo yako??naomba kuuliza kati ya Degree ya IT na degree ya sheria, ipi ina chance kubwa ya kunisaidia niingie kwenye taasisi nzuri? (zinazolipa vzuri).
Amua sasacheck number ninayo. mm nina degree ya ualimu. nimeajiriwa huku halmashauri
duh noma sana, kuna mwngne hapo juu kasema IT, nabaki dilemma asee
sawa. nashukuru sana.IT ni Overated, unless otherwise uamue kuisoma mwenyewe serious tena kwa kununua course za Maprofesa kutoka nje
ili uje ufanye kazi kama private consultant.
Napo lazima uwe mtu wa kujiongeza sana sio mzembe mzembe, maana vitu vina change ghafla sana.
Kama sio mtu huyo Nenda lawa huko, Kapige sheria utasugua miaka 2/3 ya kupata law school then uingie kupiga kazi.
Kila Taasisi inahitaji lawyers kesi ni nyingi hapa mjini
sawa mkuu.Amua sasa
Kila kitu kinawezekana.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sasa Yesu anaingiaje hapa?Mimi natembeaa na Yesu na siohofu chochotee
Alikuwa ananitishiaSasa Yesu anaingiaje hapa?
Ila una furaisha rafik yangu 😂😂Alikuwa ananitishia