SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Unakumbuka zamani rais magufuli aliingia wizara fulani akamwambia manager mkuu apunguziwe mshahara alisema wewe ndio unamalizia wenzako mishahara akasema apunguziwe mshahara mpaka 300 ili wenzake nao waongezewe .We mdada umesikia wapi mtu anapewa ml 400 kwa mwezi?
Laki moja nanusukwan IT wa halmashauri anaanza na sh ngapi?
ukikaa kimya itakusaidia kuficha ujinga wako.Laki moja nanusu
naomba kuuliza kati ya Degree ya IT na degree ya sheria, ipi ina chance kubwa ya kunisaidia niingie kwenye taasisi nzuri? (zinazolipa vzuri).
Acha kuandika vitu vya hovyo kama headless chicken.Unakumbuka zamani rais magufuli aliingia wizara fulani akamwambia manager mkuu apunguziwe mshahara alisema wewe ndio unamalizia wenzako mishahara akasema apunguziwe mshahara mpaka 300 ili wenzake nao waongezewe .
Live itv hukumbuki eeh mie nakumbuka
duh noma sana, kuna mwngne hapo juu kasema IT, nabaki dilemma aseeSheria
Walimu kipato kidogo lakini cha uhakika😂😂😂Asavali Walimu tumepumzishwa maana tulikuwa hatupishani sana kukejeliwa hapa kila siku kama wasemanavyo Wagalatia vs Wavaa kobazi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Zipo kada nyingi tu zinalipwa mishahara kama ya walimu.Walimu kipato kidogo lakini cha uhakika😂😂😂
Ipoo kuna mamenejaAcha kuandika vitu vya hovyo kama headless chicken.
Hakuna mtumishi wa umma anayelipwa ml 300 au hata mli 200.
Halafu Wizarani hakuna cheo cha Meneja Mkuu
Wana manage nini ?Ipoo kuna mameneja
Bwana eh pita kule kama hutaki kunisaidia cha panganiWana manage nini ?
Wizara ipi ina manager?
Usiwe unaandika mambo nyeti ambayo huna uhakika nayoBwana eh pita kule kama hutaki kunisaidia cha pangani
Na uwakika nayoooUsiwe unaandika mambo nyeti ambayo huna uhakika nayo
Kwanza unajua unaongea nanani??Usiwe unaandika mambo nyeti ambayo huna uhakika nayo
Kama uandishi tu unakupa shida, sihitaji hata kujua wewe ni nani. Wanaokujua inatosha.Kwanza unajua unaongea nanani??
Anaanza na TGS E ambayo ni 1,115,000Laki moja nanusu
Alikuwa analipwa Mil 45.Unakumbuka zamani rais magufuli aliingia wizara fulani akamwambia manager mkuu apunguziwe mshahara alisema wewe ndio unamalizia wenzako mishahara akasema apunguziwe mshahara mpaka 300 ili wenzake nao waongezewe .
Live itv hukumbuki eeh mie nakumbuka
Mimi natembeaa na Yesu na siohofu chochoteeKama uandishi tu unakupa shida, sihitaji hata kujua wewe ni nani. Wanaokujua inatosha.