Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

Mkuu tuwekee vigezo ulivyotumia ili tukuelewe.
 
Kama wako vizuri unadhani kwa nini watu wanaacha kazi kila siku?
 
Kwavile kachanganya njaa na shibe labda wapo kwenye shibe maana Alteza Safari wanalipa vizuri kwa zaidi ya 2.8% ya malipo kwenye industry.
Sio kweli,hao jamaa uliza hata pota wao au maguide ,wanalipa kiduchu mno,ukienda pale ofisini kwao machame ukiangalia tu hata hali za watumishi wao wanatia huruma.
 
Toa tafsiri ya njaa kali kwanza, tujue tunafanya nini.
 
Huu uzi mbona ni kama unachekesha..? ๐Ÿ˜€

Ila kiukweli kwa nchi yetu, ukiacha viongozi wakubwa serikalini, wabunge, wakurugenzi na top staff kwenye makampuni, na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, sisi wengine wote ni njaa kali tuu wala hatuchekani..

Kila taasisi ina watu wachache wenye neema, na wengi njaa kali..!
 
Bakhressa group na brella watoe hapo ,bakhressa ni moja ya taasosi zenye mishahara mikubwa kwa tz na brela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ