Pia nchi hii siyo ya majizi kama ninyi na mashoga kama wewe,Pumbavu hii nchi siyo yenu peke yenu.
Hali hii ndiyo inayofanya watu mnaowatenga na kuwaona hawafai, mnapopatikana na mabaya wafurahie
Halafu mnakuja na neno uzalendo
Alishiriki lkn hakuwateuwa.Leo ndiye ataunda timu yake baada ya kuwa Rais.Atawafutaje na wakati yeye mwenyewe alishiriki kuwateua?
Huyu ameumizwa na huu msiba kuliko janeth, sasa hivi anachofanya ni kupiga hela huko hazina maana hajui kama Mama atamuacha huko jikoni.Doto James
Kasikilize hotuba ya Rais Mama Samia angalao utakuwa na akili kidogo na utapata angalao mwanga kidogo kujua hii Ni Tz mpya na tunaelekea wapi.Lkn kwa akili hizo za kina Msiba pole ndugu.Hiyo ngoma cheza mwenyewe.Mnawaogopa saana hao kwa kuwa ni kiboko yenu?
Mtasubili saana, bado maumivu mtayapata tu mpaka mbadili tabia.
Haya mchawi mwenzangu.Ila wewe unaloga kidogo tu.Nashukuru tumeungana tu wamoja.Kwa roho hizi za chuki hata aletwe malaika ndo aongoze Taifa hili bado wapuuzi Wachache Kama huyu mleta mada watatafuta visababu uchwara ili wapate tu cha kubwabwaja.
Watanzania acheni unafiki, japo naungana na mleta mada kwenye point moja tu, Rais anatakiwa abadili mawaziri wa wizara ya afya, Wamejaa Maigizo sana kuliko utendaji Kazi.
Ole Sabaya inahitajika uchunguz kabisa kujua na yale MA AK-47 aliyatoa wapi.Umekasahau na kale kamasai kasiko na akili kichwani! Ole Sabaya!
Mbona umepaniki Sana kati ya hao kwani mumeo Ni mojawapo.Pia nchi hii siyo ya majizi kama ninyi na mashoga kama wewe,
Tutaenzi ustaarabu na misingi tahabiti ya nchi yetu
Ana nini cha ziada zaidi ya mashavuNafikili , orodha imekaa sawa, ila Iyo namber moja , napendekeza amwangalie kwanza sio mbaya Sana japo juzi alidanganya
Mkuu ni maoni ,tu na mtazamo wangu, ila Kama mapungufu yake mnayo yajua kwake ni mengi ,abaki KWA list no commentana nini cha ziada zaidi ya mashavu