Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

We km hujalewa basi ni mwehu, RPC anateuliwa na rais? Umeweka list ulitaka wateuliwe ndugu zako? We kweli ni kenge mwenye chuki za kipuuzi
Kenge halisi ni wewe.
Nchi ni ya Watanzania wote.
Wateuliwa wanalipwa kodi zetu, tuna haki ya kuhoji utendaji na kukosoa
 
umemuweka mpaka RPC duuuh,kiazi kweli wewe
 
We km hujalewa basi ni mwehu, RPC anateuliwa na rais? Umeweka list ulitaka wateuliwe ndugu zako? We kweli ni kenge mwenye chuki za kipuuzi
RPC anateuliwa na IGP kwa niaba ya Amri Jeshi mkuu ambaye ni Maza.

Tatizo lako unajua kuandika Hujui kusoma.
 
Anayewatua ndiye anawap dira anavyotaka kazi ifanyike. Huenda aliowateua kutokana na malengo aliyowapa anaona wanakwenda vizuri.
 
Ameingia tu benki kuu akiba yetu ya pesa za kigeni imeshuka kutoka 5.5trn hadi 4.0 trn. Na bado itashuka sana tu kama ufisadi hautadhibitiwa.
Ni nani atadhibiti ufisadi Muda huu Tanzania??
Kwa kifupi waliosoma ni wengi Tanzania, kuna haja ya kumkataa kwa nguvu zote mgombea ambaye ataletwa na ccm iwapo tunaona hatufai.

Kama anatufaa tunamkubali.

Suala la wajumbe wa ccm 1,800 kukaa dodoma kwa siku mbili na kutuletea mgombea wa kuongoza wananchi 61 milioni tulitafakari sana tunapota njia.
 
Tabora ya Mwanri ilipendeza sana

Mheshimiwa raisi tunamuhitaji Mwanri tabora, huyu mama mpeleke hata Dar kama una mpenda...
 
Msimlaumu halima..kila mtu aliyerudishwa na hii serikali ya JK amewekwa ili apige. Kwani ni nini kazi ya vick kamata? Au anthony diallo? Au Hawa Ghasia?au amos makalla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…