Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Kyerwa? Na anatropia theonest naye kapelekwa wapi? Au umechabga mafile?
Anatropia alikuwa mbunge wa viti maalum jimbo la segerea na safari hii amegombea huko kyerwa na kashinda mwenye kura za maoni.
Nahisi hamfatilii chama, bali mnafatilia ushabiki tu
Huyu amepelekwa Kyerwa maana kula kulikosa mtu imara una lingine?
 
Naona safari hii udhibiti wa wahamiaji haramu unatamalaki,labda ccm ikiwakata wayaenda nccr
 
Tena watakata wengi tuu kwa SABABU sio Kama CDM Dada Kama huyu mpambanaji anae kubalika na wengi mnamuangusha Bila sababu, harafu mnaimba mtaiangusha CCM
Kwanza usinichoshe siku nyingine usiwe unafaanisha CHAMA na UKOO WA WATU
Pole! Dada punguza stress!
 
Atakuwa viti maalum msihofu.

..hata mimi nitawalaumu kama watamtosa kwenye viti maalum.

..huyu dada amepigana kwelikweli ktk masuala ya kueneza chama kila pembe ya nchi.

..pia ukiangalia Mrema amekuwa makao makuu kwa muda mrefu ni vizuri akapewa nafasi ya kugombea ubunge.

..Na kuna tetesi kwamba Mrema alizuiwa na Dr.Slaa kugombea ubunge ili awe msaidizi wa kampeni. Uchaguzi uliofuata akapewa jukumu la kumsaidia Lowassa.

..pia jimbo la nyumbani kwao Mrema lina mwanamama mwingine wa CDM ambaye anagombea kule.

..kwa hiyo, nadhani ni sahihi kumpeleka Mrema kuwa mgombea Segerea, na Agnes Lambert apewe nafasi ya viti maalum.
 
Mrema aligombea moshi sikumbuki jimbo gani ila alishindwa
 
ACT wazalendo milango iko wazi.......Ntimizi wa Igalula Tabora ameshabisha hodi!
 
Bwashee wewe unatafuta huruma badala ya ushindi.

Pale segerea Julius Mtatiro alipalaani mtaendelea kupoteana huku Bona akipeta kiulaini kabisa!
 
angekuwa anataka viti maalum asinge gombea level hiyo. ni upumbavu kutetea ujinga na uhuni huu. Na aliyeshinda viti maalum naye atapewa nini?
so kumbe wanapeana na sio kuchaguliwa?
Subirini mjeredi wa ccm
 
Kwa orodha hii ya wagimbea wa chadema, ccm sherehe tayari, tena majimbo 101 mmeshindwa kujaxi halafu mnatuaminisha kuchukua dola. Guys be serious please!!!!!!
 
Kwa orodha hii ya wagimbea wa chadema, ccm sherehe tayari, tena majimbo 101 mmeshindwa kujaxi halafu mnatuaminisha kuchukua dola. Guys be serious please!!!!!!

Watu wanaojua siasa huwa hawachagui watu huchaguwa vyama kama hujui ni kwa nn uliza
 
CCM wameanza kuwakupigia wagombea wa chadema na kuwarubuni waunge juhudi, siku 5 tu Mara baada ya kamoeni kuanza wahombea watatu watauza utu wao kwa ccm
 
Halafu Mrema na Agnesta wote ni wajumbe wa kamati kuu sasa haiwezekani atoswe bila kuwepo mazungumzo
 
Una mihemko na mapovu sana, wakongwe wa kweli hawana hizo sifa.
 
Wameshasema hayo majina ni awamu ya kwanza, hayo uliyoandika yanaonesha hauna correct information.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…