Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Mwaipaya karudi radio one na J Muro karudi Yanga

Kama yapo naombeni Radhi na Kwao pia kwani huenda niliupitia tu Mkeka kwa haraka haraka.

Naomba kujua aliyekuwa DC wa Mwanga Abdallah Mwaipaya na aliyekuwa DC wa Ikungi Jerry Muro wamehamishiwa Wilaya gani?

Nitawashukuruni.
Rombo na Mwanga hawakuguswa..
 
Ngoja nivae miwani yangu kumbe hii ndio orodha

list.jpg
 
Back
Top Bottom