Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Tanzania ni ulafi tu na njaa ila nafasi za ukuu wa mkoa na nafasi za ukuu wa wilaya sijui wale jamaa wanazipendea nini kweli hata kama zina hela na marupu rupu lakini ni kazi za stress na lazima uwe mchawi kweli kweli tena kigwagula yaani mtu anaweza amka tu asubuh umeshatumbuliwa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣😂😂Mdogo wangu unataka nikiseme na mitaa pia ninyimwe uteuzi🤣🤣🤣🤣Vigezo na masharti kuzingatiwa 🤣🤣🤣🤣🤣Mm mwenyewe candidate namsikilizia Saa 100!!!!
Ukiteuliwa uniite tuzindue ule msalare na marupurupu ya kwanzaa
 
Back
Top Bottom