Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Kwa kanumba nitakupinga kidogo maana alikuwa ameshanunua kiwanja na biashara yake ndyo ilikuwa imeanza kuinuka na umri wake ilikuw kuwazia biashara zaidi na kujijenga kiuchumi ni vile hakuwa na mtoto wala familia kifo kilimuwahi kuchukua uhai wake kwaiyo hakuna kibaya
 
Wahindi mbona hawana nyumba ?

Unabidi kuishi Maisha mazuri Kama wahindi unakaa Apartment huku bank ukiwa na Pesa zako za kutosha na Biashara zilizosimama , so Mimi nampongeza Kanumba kwa kuishi Maisha standard ambayo ndo ndoto za kila Kijana mwenye akili.

Kama unajenga Jenga nyumba Kuanzia mil 500+ na sio huu uchafu mnaojenga watz wa vyumba vitatu au vinne kama sio viwili huku mna watoto kumi
Kama kuweka soda kwenye friji unashindwa utaweza kuweka hela bank
 
Kwa kanumba nitakupinga kidogo maana alikuwa ameshanunua kiwanja na biashara yake ndyo ilikuwa imeanza kuinuka na umri wake ilikuw kuwazia biashara zaidi na kujijenga kiuchumi ni vile hakuwa na mtoto wala familia kifo kilimuwahi kuchukua uhai wake kwaiyo hakuna kibaya
Haipondishi ukweli kuwa hakujenga,
 
Wahindi mbona hawana nyumba ?

Unabidi kuishi Maisha mazuri Kama wahindi unakaa Apartment huku bank ukiwa na Pesa zako za kutosha na Biashara zilizosimama , so Mimi nampongeza Kanumba kwa kuishi Maisha standard ambayo ndo ndoto za kila Kijana mwenye akili.

Kama unajenga Jenga nyumba Kuanzia mil 500+ na sio huu uchafu mnaojenga watz wa vyumba vitatu au vinne kama sio viwili huku mna watoto kumi
Wahindi wanamiliki Ucanada,Ukenya,Uingereza na huko ndipo mali zao zilipo na wanazilipia kodi kwa pesa wanazoiba Tanzania.
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
Wakati itakapoendelea tuendelee kuheshimiana.
 
Haipondishi ukweli kuwa hakujenga,
Umuhimu wa kujenga unakuja kwa sababu nyingi ni kama Leo kijana wa miaka 30 umwambie ajenge labda ndyo anaanza kazi au ndyo biashara yake ameianzaa itakuwa ni ubinafsi wa mawazo sana na ujinga wa elimu tunazopata mashuleni kama Leo hii kanumba angekuwepo angekuwa na umaarufu kama diamond na pesa nyingi ata nyumba ingekuwa si ishu kwake unamlaumu kijana wa miak 28 kukosa nyumba uko sawa kichwani kweli au wazimu wa fikra unawasumbua
 
Ray Kigosi kafa lini
 
Lile VX la milioni 80 limemponza,angekuwa ba rav 4 tu asingeingia kwenye list
 
Back
Top Bottom