Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Huyu Mshenzi alijua kuvuruga watu na kipindi chake cha Zamaradi take One ,yaani alinipagawisha kumiliki mjengo wa maana ,gari 4(Q7,Mark X,Murano,Harrier Pink Tako la nyani),Kampuni Kubwa Ya Film halafu kaweka Macntosh za milioni 4 hadi kwa receptionist na ndani kwake kaweka furniture za milioni 50 halafu mimi sina hata kiwanja cha miguu 10 kwa 10.

Kumbe msanii ni msanii alikuwa anafanya acting haha ha hahahaa labda sasa hivi wozu too much money kwa tag la mkinga break price anaweza akamjengea hata kibanda cha vyumba viwili.
Yule demu msenge sana....sasa hivi analilia simu eti valentine[emoji848][emoji848]

Demu limechezea hela lile acha acha

Next ni liuwoya, tulipe mda (sema lile haliwezi lost sana ka wema coz kwao wako njema mnoo, ataachiwa urithi mbezi beach [emoji2][emoji1635]
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali


2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.


3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?


4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea


5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
Namba mbili najua alikuwa na nyumba USA, sijui hiyo unaihesabu au la. Namba moja si wanajengewa hawa, na nafikiri ndio kilichotokea.
 
Back
Top Bottom