Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali


2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.


3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?


4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea


5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
7. McGarab (yupo hai)
8. Semaji la Klabu (yupo hai)
9. McPilipili (yupo hai)
10. Stiv Ake
 
Nakumbuka alikuwa na ndinga kama tatu hivi moja mark ii grabde nyeupe ,prado na kihiace cha kampuni yake ya The Great Movie.....Hivi aliacha mashamba kweli huyu?
Ila tusimtusi Kanumba ndo alikuwa anaibukia... maana hata miaka 35 alikuwa hajafika kwahiyo inawezekana pesa yake nyingi aliamua kuiwekeza kama working capital ili mambo yake yaende
 
Duuuhhh huu uzi naona kamati ya roho mbaya wapo online usiku wa manane wameuvalia njuga...

Yaani hapa tukiamka asubuhi mzee Mushi atakuwa ameshachafuliwa kwamba hana hata kibanda...

Jamani kamati ya roho mbaya ikiongozwa na (Sharamdala , King Kong III ,Juma1967 ,Pastor P , mdukuzi punguzeni makali mwaka wenyewe mchanga huu tutapeana stress bure.....
 
Back
Top Bottom