Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lako ni nini?
Yaan nimetoka kukutana na Ray sasa hivi hapo kwa maza ake Mori...nimecheka sana baada ya kuuona huu uzi
Kwani alirudi toka Marekani?[emoji23] Niliambiwa alipelekwa akagoma kurudi bongo na sasa ni Mtangazaji[emoji23] mzee amekaa kitapeli sana hua nacheka nikiona sura yake!
7. Wema Sepenga
Ujana maji ya moto shenzeee
Marehemu Kanumba mama yake alimsumbua sana wakili wa Kanumba akidhani kuna mamilioni.Wakili akamtonya kuwa benki ana elfu ishirini,gari ni la mkopo,kitu halali anachomiliki ni mashamba mawili.
[emoji23][emoji23] binti yangu mainda weweee[emoji23][emoji23] nipo mkuu King Kong III [emoji23][emoji23]Sauti ya zege ...Mainda Mwananguuuuuu!! Stepp Umepotea Sana.
Huyu hana akili, hakuna kitu kilikuwa kinanikera wasichana wazi wakitamka huyu ni Role model wao.. haiigii akilini asee, afadhari now wamepunguza kama sio kuacha kabisa.Huyu Mshenzi alijua kuvuruga watu na kipindi chake cha Zamaradi take One ,yaani alinipagawisha kumiliki mjengo wa maana ,gari 4(Q7,Mark X,Murano,Harrier Pink Tako la nyani),Kampuni Kubwa Ya Film halafu kaweka Macntosh za milioni 4 hadi kwa receptionist na ndani kwake kaweka furniture za milioni 50 halafu mimi sina hata kiwanja cha miguu 10 kwa 10.
Kumbe msanii ni msanii alikuwa anafanya acting haha ha hahahaa labda sasa hivi wozu too much money kwa tag la mkinga break price anaweza akamjengea hata kibanda cha vyumba viwili.
Danga lililokubuhu7. Wema Sepenga
Ujana maji ya moto shenzeee
Huyu wa mwisho atakufa lini ?1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Uzuri mwanaye yupo kwenye lamba [emoji518] family [emoji1787][emoji1787]Mzee Mnauye alikuwa anajengea totoz tu, source Brigedia jenerali mmoja marehemu aliniambia
Mzee wa kunywa maji mengi 🤣🤣🤣🤣🤣😂 ray kigosi
Hii Nchi tunavumiliana, baada ya midundo ya kikristo baadaye hapohapo utasikia alaaaaaaaskbaaaaralaaaakbarrrrrrrrt na vitisho vya sanda nayo tunaivumilia.Na msijenge karibu na makanisa ya kilokole,Ni KERO
Nahisi leo nakesha,jirani kuna kanisa wamefungulia dundo si la kitoto na wanafuatisha kuimba,
Lazima ujiangalie na kumuuliza Mungu ulipokosea.
Kumbe wenzio wana act🤣🤣🤣
Mzee alikuwa mzalendo,bingwa wa kuhamasisha ndiyo maana mtoto analamba asali za uzalendo.Uzuri mwanaye yupo kwenye lamba [emoji518] family [emoji1787][emoji1787]