Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Mwanaume kujenga ni kitu muhimu ni vile vifaa vya Ujenzi vipo ghari ndio maana watu wanaona ni vitu visivyowezekana ila kwenye Life kitu cha msingi ni kupata sehemu ya kuweka usingizi yenye ubora na usafiri bora pia utakuwa umepunguza zile hasira za haraka haraka...Nyumbani huko kijijini kama uliacha nyumba ya matope nayo kaifanyie ukarabati sasa upo busy unapambana harafu home ulikotoka kupo hovyo huo ni uduanzi wa kiwango cha juu labda usiwe kwenye Channel za Pesa...
 
Ukifa unatakiwa uache Cash Flow, pesa zinatiririka kwa wanao sio kuacha majumba yasiyoingiza pesa, wataishia kuuza tu
 

Ikitokea rais akataka ardhi aliyokupangisha basi unalipwa fidia nzuri tu na hata hiyo miaka 99 ikiisha unaomba ku-renew na kama serikali wanalihitaji eneo watakulipa fidia kulingana na thamani ya wakati huo na wanalipa fedha ndefu tu mkuu.
 
Alafu kuna watu wamejenga nyumba ili mradi nyumba tu, location mbovu mabondeni huko uswahilini. Kwa mtazamo wangu ni vizuri ukifa uache running business ambazo hazitasimamisha cashflow kwa uliowaacha..Dunia ya sasa imebadilika sana. Unaweza kuacha nyumba ambazo ni mzigo tu mwishowe zinaishia kuuzwa.
 
Uzi ufungwe!!!
 
unajitahidi kutetea ujinga mkuu
 
Nakumbuka kuna kasichana kaliitwa Zinduna kalitoroka kutoka kwao na kuja Dar kumtafuta Sepenga ili aishi Maisha Kama ya spenga,na kalikataa shule,sema mwisho nazani Wazazi wake walikuja kukachukua kwa msaada wa police na kukarudisha kwao!!
Huyu ni hajui nguvu yake, angekuwa mbali sana.
ona Vijana wanageza njia za kichwa maji, afadhari wazazi wake Wamefanya la maana
 
Vipi TID?
 
Wakati huo unaishi kwenye nyumba aliyojenga nani? Imejini wote mnawaza kujenga biznaaa...!!
Unatetea ujinga kwa point zisizoendana na ujinga unaoutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…