Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Utakufa bila kufunga macho wewe
Acha ujinga.walojenga hizo nyumba zinawasaidia nini huko kaburini?wangezikwa kwenye nyumba zao basi?? Tena wengine nyumba zao zilishauzwa tena bei chee tu na watu wakala hela wakapita hivi
Kheeee..!!! Hili povu la omo linalozugumzia kaburi, wakati wa uhai inakuwaje?
1. KWANI ELIMU YAKO ULIYOSOMA ITAKUSAIDIA NINI KABURINI?
2. HUKO KABURINI SKONKIKO ZAKO UNAZOZIMILIKI ZITAKUSAIDIA NINI?
3. HAYO MAWIGI YAKO HUKO KABURINI YATAKUSAIDIA NINI?
4. HAYO MAGARI YAKO HUKO KABURINI YATAKUSAIDIA NINI?
5. HAYO MAVAZI YAKO, HUKO KABURINI YATAKUSAIDIA NINI?
6. HUO UREMBO WAKO, HUKO KABURINI UTAKUSAIDIA NINI?
7. HIZO CHUPI ZAKO ZA GHARAMA, HUKO KABURINI ZITAKUSAIDIA NINI?
8. HIYO IPHONE 14 PROMAX YAKO HUKO KABURINI ITAKUSAIDIA NINI?

Jitetee uwezavyo, kwa mawazo ya huko kaburini nyumba itakusaidia nini, maana yake hata kuzaliwa hukutakiwa uzaliwe maana kuzaliwa kwako huko kaburini hakuna msaada wowote kutakupa
 
Huu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.

Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.
Wasio na nyumba utawajua tu
 
Nimehuzunika sana namba moja ila huzuni ikaja kuisha yote nimecheka sana namba ya mwisho!

Tukirudi kwenye mada aisee nilijua watu maarufu tu kama ilivyo heading kumbe ndani yake Kuna watu wazito hatari.
 
Back
Top Bottom