Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Mtazamo wako upo na shida pahala.

Just think kama unaweza kukusanya tumilioni kadhaa ukiwa umepanga uhoni kama utaweza kujenga mapema basi utakuwa unasave zaidi hela na kuweza kupata mtaji mkubwa ili kuanza kuwekeza!?
Watanzania bwana ubongo watu huwa unawaza sana kujenga ndo akili huwa haufikilii kuongeza Kipato ndo ujenge utakuta mtu anakwambia mimi nikipata milion kumi najenga vyumba vyangu viwili utafikili akijenga ndo tayali amemaliza tayali yani Anapesa ya muendelezo wa kiuchumi pesa kama iyo ukipata unatakiwa uiwekeze ili faida itayopatikana ndo uaenze kujenga kidogo kidogo na pia mtaji ukiendelea kwaiyo hii jambo kujenga kujenga tubadilike jamani asanteni but mtazamo wangu tu
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali


2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.


3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?


4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea


5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
Ungefanya evaluation ya mazuri na mapungufu yao pia,hata mwalimu nyerere mpaka anang'atuka alikua hana nyumba butiama, mpaka jeshi lilipoamua kumjengea,na ile ya msasani alikua bado anadaiwa na NBC,deni, Lakini mpaka mtoto wangu anamjua mwl Nyerere japo hakuwahi kumuona, because of his legacy [emoji1241]
Lakini mzee Mengi kaacha kasri ameacha migogoro tu huku nyuma.
Under the sun everything is vanity [emoji137][emoji137]
 
Umuhimu wa kujenga unakuja kwa sababu nyingi ni kama Leo kijana wa miaka 30 umwambie ajenge labda ndyo anaanza kazi au ndyo biashara yake ameianzaa itakuwa ni ubinafsi wa mawazo sana na ujinga wa elimu tunazopata mashuleni kama Leo hii kanumba angekuwepo angekuwa na umaarufu kama diamond na pesa nyingi ata nyumba ingekuwa si ishu kwake unamlaumu kijana wa miak 28 kukosa nyumba uko sawa kichwani kweli au wazimu wa fikra unawasumbua

Mkuu hiyo ilitokana na lifestyle lake ya kumiliki mavitu(mandinga makubwa) na kampuni watu wakajua lazima atakuwa na mjengo.
 
Mmemsahau Jasiri Muongoza Njia Ruge, mshikaji alikufa akiwa amepanga kwenye apartment ya chumba kimoja na sebule. Msiba ulifanyika kwa baba yake Prof. Mutahaba

Alikuwa anasaidia mademu kujenga yeye hakuwa hata na kiosk

Doooh noma sana labda aliwajengea kina Juju mjengo yeye akaamua akae tu kwenye apartment baada ya kujua status yake ya Juliana.
 
Serikali kila siku inakuambia ardhi ni yake we kiherehere cha kuijengea unakitoa wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumeazimwa na kuna sharti kwenye HATI kwamba rais anaweza kubadili matumizi ya Ardhi yako bila taarifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na mwisho wa umiliki ni miaka 99, inamaana wajukuu wetu watakuja kununua kiwanja changu [emoji137][emoji1787]
 
Ungefanya evaluation ya mazuri na mapungufu yao pia,hata mwalimu nyerere mpaka anang'atuka alikua hana nyumba butiama, mpaka jeshi lilipoamua kumjengea,na ile ya msasani alikua bado anadaiwa na NBC,deni, Lakini mpaka mtoto wangu anamjua mwl Nyerere japo hakuwahi kumuona, because of his legacy [emoji1241]
Lakini mzee Mengi kaacha kasri ameacha migogoro tu huku nyuma.
Under the sun everything is vanity [emoji137][emoji137]
Nyerere kuna nyumba yake iko magomeni imegeuzwa makumbusho nyimba kali sana alijenga kabla ya uhuru
 
Back
Top Bottom