Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

nimeona wengi wanaopinga kujenga ndo wazee wa KATAA NDOA pia... shida nini wakuu? mzee mdukuzi hebu ongeza majina ya wanaopinga kujenga chini ya jina la Ray hata kama wapo hai... [emoji3]
KATAA NDOA.

NDOA NI UTAPELI.

AFYA YA AKILI NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YAKO.

Kumbe mwisho wa yote ni kukosekana kwa chapaa tu daaah....[emoji2960][emoji28]
 
Vyeo vya jeshi kipindi hicho vilikosa heshima, Brigedia anashindwa kujenga nyumba, kipindi hicho viwanja goba, na Makongo wanapima kwa kurusha jiwe, linapotua ndio mpaka,


Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hiyo list hapo hakuna aliyeacha kujenga kisa hana hela sema walijisahau tu,Mzee Nnauye angeweza kujenga sema alikuwa mtu wa bata sana
 
Kama kawaida chezea mhaya wewe[emoji16][emoji16]
 
Unafikiri nyumba ni Sawa na m.a.v.u.z....kila mtu awe nayo
 
Mmemsahau Jasiri Muongoza Njia Ruge, mshikaji alikufa akiwa amepanga kwenye apartment ya chumba kimoja na sebule. Msiba ulifanyika kwa baba yake Prof. Mutahaba

Alikuwa anasaidia mademu kujenga yeye hakuwa hata na kiosk
Sasa ruge ule mgorofa wao wa mikocheni alikuwa hana hata ya kujenga[emoji23][emoji23][emoji23]

Ile ghorofa tu unaweza tenganisha maapatment , ruge yuko njema!

Si unakumbuka hata ile interview yake alisema wazazi wake walikuwa wanamsisitiza ahamie kwenye huo mghorofa anazingua
 
Steve Nyerere
Jemedari Said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…