RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hayo ni majungu tunamba 7 ana nyumba bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni majungu tunamba 7 ana nyumba bhana
KATAA NDOA.nimeona wengi wanaopinga kujenga ndo wazee wa KATAA NDOA pia... shida nini wakuu? mzee mdukuzi hebu ongeza majina ya wanaopinga kujenga chini ya jina la Ray hata kama wapo hai... [emoji3]
Unaanza Maisha Mapya Mfano Uliotuacha Hatuyajui Haa Tunahaha DunianiSasa nimeshakata moto inanihusu nini?
Hiyo list hapo hakuna aliyeacha kujenga kisa hana hela sema walijisahau tu,Mzee Nnauye angeweza kujenga sema alikuwa mtu wa bata sanaVyeo vya jeshi kipindi hicho vilikosa heshima, Brigedia anashindwa kujenga nyumba, kipindi hicho viwanja goba, na Makongo wanapima kwa kurusha jiwe, linapotua ndio mpaka,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Dr. Tale ana majumba mengi sana huku Malamba mawili ana nyumba ambayo alikuwa akiishi na marehemu mkewe. Kimtindo km haitaki kawaachia wapangaji tu. Building and construction ni tajiri.11. Dr. Tale (PhD),
12. Jasiri Muongoza njia
13. Kibonde
Sasa wewe unamlaumu anakuhusu nini?Usitetee ujinga.. Gavana wa benki hajajenga unamteteaje?
Then you are killing the whole idea of having JF..!!Sasa wewe unamlaumu anakuhusu nini?
RIP to nandy tuuuMmemsahau Jasiri Muongoza Njia Ruge, mshikaji alikufa akiwa amepanga kwenye apartment ya chumba kimoja na sebule. Msiba ulifanyika kwa baba yake Prof. Mutahaba
Alikuwa anasaidia mademu kujenga yeye hakuwa hata na kiosk
Kwamba baada ya kusoma ukaamua ukaongeze nyumba nyingine au?
Kama kawaida chezea mhaya wewe[emoji16][emoji16]Kwa hizi nyumba mnazojenga watz hakuna Mtu anaweza kushindwa kujenga hata Kama unapata kipato Cha laki nne kwa mwezi.
Vyumba vinne na choo cha nje , Ni Nani ashindwe kujenga uchafu Kama huu!?
Mtu makini anayetaka kujenga nyumba ya kukaa Binadamu lazima ajipange Apate Kuanzia mil 400/300/500
Unafikiri nyumba ni Sawa na m.a.v.u.z....kila mtu awe nayo1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Sasa ruge ule mgorofa wao wa mikocheni alikuwa hana hata ya kujenga[emoji23][emoji23][emoji23]Mmemsahau Jasiri Muongoza Njia Ruge, mshikaji alikufa akiwa amepanga kwenye apartment ya chumba kimoja na sebule. Msiba ulifanyika kwa baba yake Prof. Mutahaba
Alikuwa anasaidia mademu kujenga yeye hakuwa hata na kiosk
Sio makabwela wanapata pesa ao sema tu awataki kujenga unazani ray ni kabwela?Wanaigiza kwenye mijengo mikali na magari makali kumbe na wao ni makabwela tu.
🤣🤣🤣6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Steve Nyerere1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
Itaendelea
Alikuwa na yeye anaishi pale...badae ngumi ngumi za haja ( si unajua ray ni libaunsa afu kakaake ana kamwili ka mbu) kakaake akahama pale...Kwani yule brother yake(Yule ana umaji ya kunde kidogo) naye anakaa sinza kwa maza?
Pesa ndefu kutokea wapi bana!!??Sio makabwela wanapata pesa ao sema tu awataki kujenga unazani ray ni kabwela?
Pesa anaingiza ray ni ndefu ashindwi kujenga sema nadhani kitakuwa sio kipaumbele chake.
Hiyo bar unaijua? Si ilikuwa pale sinza lion?Huyu si nilisikia alikuwa na investiment ya Bar 120?