Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Bro si kila anaetafuta pesa ana ndoto za kujenga wengine wakisha starehe bas katimiza ndoto zake
 
8. Mheshimiwa Mdukuzi
 
Miaka yetu tulikuwa tunatumia usemi wa sokomoko choma nyumba ulale nje, uzi wako unaladha flani hivi ila hawa uliowaweka ni wachache mno kama unawaonea vile, ungeliruhusu wajuvi watiririke ili tusio na makazi tujuane
 
Ahaa fuatilia vizuri comment za wadau,watu wametiririka humo,mnaoamini duniani tunapita mmetajwa humo
 
Unafikiri nyumba ni sawa na M.A.V.u...z kila mtu awe nayo
 
Hili bumunda jamani bado linakaa kwa mama yake? Kazi ipo limeamua kuzeekea kwa mama? Aibuuuuuu!!
Alaf kwenye maigizo yake hajawahi kuigiza kwenye nyumba ya hovyo anaigiza kwenye nyumba kali anajidai nyumba yake wakati hajui hata bei ya msumari mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…